Tumuombee na kumsaidia hajielewi.Mkuu, binafsi siamini kama huyo jamaa haelewi. Ila najua anazuga tu kwa vile kauona ukweli
Na hakuna aliye mnafiki kama Mbowe ambaye alilikataa gari la KUB na kalichukua kiaina. Tena alivyo mnafiq kaenda nalo mpaka nchi za watu, Kenya na Rwanda
Watu kama hawa haina haja ya kuwaombea. Bora wafe tu tuwazike kwani hawana tija kwantaifa hiliTumuombee na kumsaidia hajielewi.
Kwani huyu Christina Lissu ana uhusiano na atundu Lissu?Lisu naLisu ni walewale tu kudandia mambo bila kujua.
Muulize yeye tina lisu anatembelea gari gani ukipata jibu hutaamini.Ni kweli Bethlehemu ana tapa tapa,hata siku moja hakuna mpinzani anayeisifia serikali,na ukiona kama kuna mpinzani anayefanya hivyo,basi ujue huyo tayari ni MAMLUKI,so what this lady was doing ndo haswa kilichompeleka mjengoni,mambo ya comparison mbna yamekaa vizuri ni kweli shangingi moja ni sawa na dispensary so what is the issue here?rudi ukaongeze b7 utasomeka
Kabisa kabisa ni mtu na dada yake.Kwani huyu Christina Lissu ana uhusiano na atundu Lissu?
mkuu kama wewe maudhui uliyoyapata kwenye mada hii ni kusifia serikali, basi si kulaumu kwani kila mtu kaumbwa na kichwa chake.Halafu aliekuambia kuwa upinzani peke yake ni sifa ni nini? kumbe ndio maana tuna watu wanaopinga kila kitu hata kiwe kizuri! hii ni hatari sana.Mpinzani wa maana ni yule anayetengeneza mikakati thabiti mbadala na zenye tija na ndio maana sijampinga wala kumkashifu dada Christina bali nimemshauri.Sasa kama wewe hujaelewa nimeshauri nini, waulize wenzako walio elewa.Ni kweli Bethlehemu ana tapa tapa,hata siku moja hakuna mpinzani anayeisifia serikali,na ukiona kama kuna mpinzani anayefanya hivyo,basi ujue huyo tayari ni MAMLUKI,so what this lady was doing ndo haswa kilichompeleka mjengoni,mambo ya comparison mbna yamekaa vizuri ni kweli shangingi moja ni sawa na dispensary so what is the issue here?rudi ukaongeze b7 utasomeka
Na hakuna aliye mnafiki kama Mbowe ambaye alilikataa gari la KUB na kalichukua kiaina. Tena alivyo mnafiq kaenda nalo mpaka nchi za watu, Kenya na Rwanda
Ha ha ha ha ha ha ha ha!Watu kama hawa haina haja ya kuwaombea. Bora wafe tu tuwazike kwani hawana tija kwantaifa hili
Kwani huyu Christina Lissu ana uhusiano na atundu Lissu?
Ok! sawa hamna shida.Ila tunachokitaka zaidi ni kuona hali ya mambo ikibadilika na si mabadiliko ya sura tabia zile zile na hilo ni jambo la kimkakati kama ninavyosema.Ok! hapo nadhani tupo pamoja.betlehem ya Galilaya au ya wapi?Mbona unaonekana umekata tamaa?Huyo mbunge yuko kazini kuikosoa serikali.Nadhani tuthubutu kama Malawi,India; tupumzisha serikali hii ya CCM.Tukiamua tunaweza,naona mwanga kwa mbali.
Binafsi nilimshangaa sana huyu Christina Lissu. Sijui na yeye anatumia gari gani. Ningemuona yupo sahihi kama angekuwa anatumia magari aina ya Starlet, Vitz au Ist
Sio wewe tu, kuna wengi ambao hawajaelewa! hebu pitia comment na utajua ni kwa kiasi gani wengi hawajaelewasijakuelewa mkuu maelezo meengi sana
Kweli kabisa ndugu yangu.Ila Sidhani kama kuniita mnafiq pekee inatosha! mbona hunitukani tena matusi makubwa kama uliyokuwa unafanya? ni nini kimekupata kiongozi!
Kweli kabisa ndugu yangu.Ila Sidhani kama kuniita mnafiq pekee inatosha! mbona hunitukani tena matusi makubwa kama uliyokuwa unafanya? ni nini kimekupata kiongozi!
kwa kuwa mwenyewe anadai hajaelewa na hatuna ushahidi wa kitaalamu unaotuthibitishia kwamba kaelewa na anazuga; nashauri tumchukulie hivyo hivyo kwamba hajaelewa kama anavyodai mwenyewe hadi hapo tutakapothibitisha kwamba ameelewa, au yeye mwenyewe atakapokiri kuelewa.Mkuu, binafsi siamini kama huyo jamaa haelewi. Ila najua anazuga tu kwa vile kauona ukweli