ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Afu wewe bi shosti nakuangalia ujue, cha kunikashifia mume wangu inahuu....!!! taratibu bibie heshima ichukue mkondo wake kabla hajaparuriwa mtu humu
Sipati picha msala wake hapa ndani
ummu kulthum tafadhali bibie unaemsema hayo maneno ni mume wangu ujue nilozaa nae watoto saba na tuna wajukuu ma dazeni, kama kiswahili kimekushinda kuelewa hapo juu omba kamusi bibie na sio kukimbilia kumwaga makashfa hapa ndani...
eeeeeh afadhali umetokea kwanza salama?mumeo hajambo huko jela?aaaaah hata usiniparue shoga angu, tulia kwanza, kunywa maji, shusha jazba af nije nikueleze taratibu kwa vituo.kwanza sina muda huo wa kumkashfu mumeo af sijamkashifu ujue mi nimeuliza kwa uzuri tu!NA NDIO MAANA KWENYE COMMENT YANGU YA MWANZO KUNA ALAMA ZA KUULIZA NA NIKAKUTA WEW UNIDHIBITISHIE AU NI UZUSHII WA MUANDISHI,Sa kashfa hapo iko wapi? mwambie muandishi siku ingine asiandike sentensi TATA aandike sentensi SAHIHI.tatizo liko kwa muandishi ukiniparua mimi na we utaparuriwa ooooh!!!!
Nye! Kimeshaumana hapa ...!!!!! nakaa mita mia yangu macho
Nye! Kimeshaumana hapa ...!!!!! nakaa mita mia yangu macho
usiogope sogea karibu uwe unaturushia news maana wakisha anza kuparuana hapo baadae itakapo kuwa kesi tutahitaji shahidi.
adv.kibatala&adv.fungamtamamsala ndo umeshaaanza mkewe kisha tia timu njoo ushuhudie ninavyopangua makosa ka wakili wa lulu .anaitwa nani vile?
kafanyaje tenaMods wana hasira vibaya,wamemtunza ban guest house hadi tar.15 dadadeki!!!
usiogope!hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo ila usiondoke eneo la tukio
kafanyaje tena
Vin Diesel tunaweza kufungia hata bomani si lazima dhehebuni. Tabu yako wewe ndugu yangu unatamaa. Ungekuwa hauna tamaa tunge change ukanipa MamndenyiBan hii itasaidia ndoa ya Slave na Evelyn Salt isifungwe...I still have the chance ya kumrudisha mke wangu..
Vin Diesel tunaweza kufungia hata bomani si lazima dhehebuni. Tabu yako wewe ndugu yangu unatamaa. Ungekuwa hauna tamaa tunge change ukanipa Mamndenyi
Vin Diesel tunaweza kufungia hata bomani si lazima dhehebuni. Tabu yako wewe ndugu yangu unatamaa. Ungekuwa hauna tamaa tunge change ukanipa Mamndenyi
Slave hapa siweze kugonga 'like' manake ndoa yangu na Vin Diesel iko mashakani nisijeongeza tabu zaidi.