Maskini akipata

Maskini akipata

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,403
Reaction score
2,749
Baba wa taifa(my foot) aliachia juzi tu hapa mwaka wa 1985, akamuachia Mzee Rhuksa ambaye kwa maoni yangu.... ndiye baba wa kweli wa taifa.

Tukumbuke kuwa sera kuu ya baba wa taifa ilikuwa ni "watu wengi wenye akili, na utajiri hawawezi kutawaliwa, wataleta vurugu". Hivyo basi baba yenu alijikita kuhakikisha ujinga na umaskini unazoeleka.

Utaskia mzazi wako anakuambia proudly "enzi hizo ukikutwa una T.V unaulizwa umetoa wapi".

Unaambiwa shule zilikuwa chache makusudi...utaskia "oooh flani ilibidi asome kwa jina la flani maanake flani alikosa mabati ya kupeleka shule"....unaambiwa ilikuwa kama huwezi kushika skio la kushoto kwa kupitisha mkono wa kulia juu ya kichwa husomi. 🤣🤣🤣

Mpiga ramli akipewa nchi bana...

Hebu pata picha sasa vijana wa kipindi hicho ndio viongozi wa sasa. Maskini ndio kwanza kapata.

Nikiskiaga watu wanasema ooh, baba wa taifa sjui nini, nasikitika sana.
 
Nilishsmama marakadhaa na narudia kusema kuwa 'nyerere alikuwa Malaya na si baba wa Taifa'.

😎😎😎
NIkiskiaga watu wanamsifia naona wamelogwa... serikali imejaa wala vinyesi chungu nzima.

Wajinga tupu...mazuzu!!!

Hebu jaribu kufanya intellectual conversation na hawa watu wa miaka ya 1970 na kupanda juu. Utanielewa.

Hawa ndio wajinga wanaoliwa.
 
Ni ujinga sana kuendelea kumlaumu mtu alietoka madarakani zaidi ya Miaka 40 iliyopita, waliomfuata wameshindwa kurekebisha Makosa ya Nyerere aliyetawala miaka 24, na tawala zilioongoza kwa miaka 40 zimeshindwa. Tena basi nyerere ni bora kama aliweza kuweka mambo miaka 60 iliyopita yanatutesa hadi leo ana Akili kuliko tuliomfuata. Uzuri hata yeye alikiri kuwa yapo maeneo alikosea na akawaomba wengine wasiyaige wachukue mazuri. Mzee yule ametoka madarakani zaidi ya miaka 40 kuendelea kumlaumu ni sawa na kutwanga pilipili kwenye kinu
 
Wazungu walipotaka kuwabadilisha waafrika, walianza kwa kuharibu historia zao na maadili ya mfumo mzima wa kufikiri.

Tuanze kwa kutambua huyo jamaa alikuwa mjinga. Tena sana tu. Itasaidia kuuanza ukurasa mpya, na kubadilisha fikra zetu.
 
Alisimika mizizi ya kuwafanya watanzania kuwa waoga na wajinga ili aendelee kutawala, mtu alikuwa raisi kwa zaidi miaka 25, huo ndio udikteta uchwara aliowarithisisha ccm ndio maana mpaka leo hawatokubali kuachia nchi....

Kwa ujumla yule mzee alikuwa ni mshenzi sana, aliwafanya wazazi wetu wavae viraka na kuutukuza umasikini kama jambo la maana sana na ni kawaida kuwa masikini, Waliogopa sana kutafuta utajiri, kwa kugopa kuitwa msaliti, bwanyenye, bepari, mlanguzi.
Ilikuwa ukikutwa na Colgate nyumbani kwako unaitwa mhujumu uchumi,
Ukiwa na Radio kasseti unapigiwa mahesabu ya mshahara wako je umewezaje kununua radio kasseti kwa mshahara wa serikali....
Akatuingiza kwenye vita ya kijinga kumsaidia rafiki yake Obote, na kuongeza umasikini nchini kwa kiwango kikubwa, wakati Obote hata waganda wenyewe walikuwa hawamtaki na hakukaa muda akatimuliwa tena....
 
Watu wa enzi hizo waliogopa mafanikio na wakazoea umaskini, siku hizi wakiona mtu ana hela utasikia ni frimaso.

Wanakuambia eti aliachia madaraka, walitaka abaki. Hawakutaka aachie urais 🤣🤣🤣... yule ni mbwa wa taifa! Malaya tu mlamba visigino, uchawi mtupu.
Tusizarau saikolojia.

Waliofanyiwa uhuni ndio wamekuja kuwa wahuni. Eti Baba wa Taifa.
 
NIkiskiaga watu wanamsifia naona wamelogwa... serikali imejaa wala vinyesi chungu nzima.

Wajinga tupu...mazuzu!!!

Hebu jaribu kufanya intellectual conversation na hawa watu wa miaka ya 1970 na kupanda juu. Utanielewa.

Hawa ndio wajinga wanaoliwa.
Ni Malaya Malaya tu, na ndio waliotufikisha hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom