Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Santeee!!!!!!!!!!!!Angekuwa na thamani ya maji ya deki kweli wala usingekuwa na haja ya kuandika hata nukta seuze waraka mzima
Kutumia maneno ya udhalilishaji ni katika kujifariji.
Pole
Azote nakupa LIKE maana umesema ukweli kabisaaaaaaaaaaaa!!!maneno meengi vitendo ziro,kama serikalli ya CCM,wewe ungekuwa na ubavu si ungempa makavu?
Yaani mpk hapo umeshashindwa , ndiyo maana umekuja kupigia kelele humu jamvini, ungekuwa kweli wewe ni mwanamke mahiri ungemwita na kumwambia live, kwa sababu unamwogopa ndiyo maana unabaki kuweyaweya.
Pia hayo mambo ya kutishiana kuwa wewe matumbi sijui nani yalishapitwa na wakati. kama kweli wewe ulikuwa mzuri boss angevutiwa na wewe, lakini kwa kuwa hukuwa na vigezo vya kumvutia ndiyo maana kamchukua huyo, Na kamwe siku zote wakuja ndiyo analeta maendeleo sehemu, wewe huoni wenye mji wa Dar walivyouza viwanja kwa wakuja na tukabadilisha mji? kuwa mjasiri wa kuweza kumfuata mtu na kumweleza kanayokukwaza, itakusaidia.
Ha haaa haa haaaa haaaaaa! Nakuambia itakuwa hasara sana kama mlengwa hakuupata huu ujumbe!
Heeeeeeiiiiiiyaaaaaaaa kwasababu umenileta huku JF bwana boss simwachi, na ndo kwanza mtaishia kukalia viti vya ofisi 1/30, hakuna cha seminar, mtakuwa kama mawe hapo ofisini........na ndo kwaaaaanza ofisini siji hadi mwezi december mkome vizuri na mikazi.
Heeeeeeiiiiiiyaaaaaaaa kwasababu umenileta huku JF bwana boss simwachi, na ndo kwanza mtaishia kukalia viti vya ofisi 1/30, hakuna cha seminar, mtakuwa kama mawe hapo ofisini........na ndo kwaaaaanza ofisini siji hadi mwezi december mkome vizuri na mikazi.
Yaani mpk hapo umeshashindwa , ndiyo maana umekuja kupigia kelele humu jamvini, ungekuwa kweli wewe ni mwanamke mahiri ungemwita na kumwambia live, kwa sababu unamwogopa ndiyo maana unabaki kuweyaweya.
Pia hayo mambo ya kutishiana kuwa wewe matumbi sijui nani yalishapitwa na wakati. kama kweli wewe ulikuwa mzuri boss angevutiwa na wewe, lakini kwa kuwa hukuwa na vigezo vya kumvutia ndiyo maana kamchukua huyo, Na kamwe siku zote wakuja ndiyo analeta maendeleo sehemu, wewe huoni wenye mji wa Dar walivyouza viwanja kwa wakuja na tukabadilisha mji? kuwa mjasiri wa kuweza kumfuata mtu na kumweleza kanayokukwaza, itakusaidia.
Santeee!!!!!!!!!!!!
Niliumia zamani sasa na mimi nimeamua LIWALO NA LIWE""!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
amemwaga ungali na mimi namwaga mboga kwani nini bwana mjini sikuja kama yeye, mjini nimeasilika
Hawez kunitia najisi kwa hashuo la pedi.
kaulize vizuri mtaa wa msimbazi ilipo klabu ya simba nyumba ile aliish nani kabla ya kuiuzia klabu utaambiwa. mie sikuja mjini nimezaliwa mjini.Amesahau la mjini ni lile sanamu la posta pekee?lile ndo kutwa kuchwa liko mjini, wengine wote wakuja tu
Nimebaki kucheka tuuuuuuuuuuuuu.............
Ila kiukweli kuna mijanajike inajiona utadhani wanatawazia noti.
Ukimuangalia kuanzia juu mpaka chini majangaaaaaaaaaaaaaaaa..........
Waleleeeeeeeeeeeeeeeee................. waambie wasikileeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Ye kaja mjini na Mbio za Mwenge wakati sie ni Born here here!!!!!!!!
Beach zote tumeogelea....Madimbwi yote tumezamia.....Kumbi za Disco zote tumemaliza.....Wanaume wote wametulala
Na bado twadunda tuuuuuuuuuu......
Heheheeeeeeeeeeeee........
Akisafiri mwarabu, aenda Dubai...... nikisafiri mie mzaramo naenda ngomani.
Jamani msinisute
siye ama wengine??
FYI huyu kijibwana chako tunakipeperusha hicho na kukuonyesha kwamba sisi nani mapinduzi lazima na utajua tu.
ndipo utakapo jua mdundiko hauchezwi na viatu.
Nyakanga wangu Lisa na Shostito wa ukwenh'e Mrembo by Nature mi nawaangalia tu.
Na unaonekana kulazimisha uonekane wa mjini.
Wamjini kweli hawasemi wala kujitapa mbele za watu kwa kuwa wana maadili tosha ya kujielewa na kuwaelewa wengine
Na wamjini kweli halazimishi kutumia maneno ndivyo sivyo ili tu aonekane Mswahili sana [rejea @ hashuo ]
Wewe unaonekana ni wakuja limbukeni kuliko huyo hasimu wako
Hahahahahahahahahahahahahaha leo kumekucha, alafu boss analalamika siku hizi mnachelewa kufika kazini......mjitahidi muwe mnawahi kwani kazi ninyingi eehh
Hapa napunguza upepo tu picha kamili laja.Azote nakupa LIKE maana umesema ukweli kabisaaaaaaaaaaaa!!!
hapa nimekuja kupunguza upepo tu picha kamili linakuja. umesahau kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha!!!!