Agnessjuma
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 317
- 86
Kwenye gari umetulia kimya, unashuka tu na page
😁😁😁😁😁😁kama ulikuepo vile
Kwenye gari umetulia kimya, unashuka tu na page
Yaani mimi nikikaa sina kazi hiyo ndo starehe yangu
Yaaan nikisafiri full shangwe
Acha uvivu wa kitzHivi kuna watu wanasoma haya maandishi yote..!
Shikamoo interest
Unataka ukikojoa kila mtu akojoe?Acha uvivu wa kitz