Bila shaka kwa mizengwe si unajua kile chama mpka yule alikwiba piaHuo udiwani aliupata kwa haki?
Bila shaka kwa mizengwe si unajua kile chama mpka yule alikwiba piaHuo udiwani aliupata kwa haki?
Huyu mzee ni hasara kubwa taifa, anaiona nchi kama familia yake au anaiona nchi kama ya mama yake.Kabla ya mwaka huu kwisha mmoja wao lazima ang'ate shuka.View attachment 3692359View attachment 3692360
Kifo ni kifo tuTaarifa kamili hii hapa
View attachment 3692351View attachment 3692352
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Kifo ni kifo tuTaarifa kamili hii hapa
View attachment 3692351View attachment 3692352
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Atakuwa amekula rushwa ya wafugaji ambao kimsingi ni wageni, halafu wakulima ndio wenzake na ndio wenyeji wa asili na ndio wapiga kura.Ina maana na yeye alishiriki kwenye huo ugomvi, labda alikuwa upande wa wafugaji ama wakulima, yeye hafahamu hio migogoro inapaswa kutatuliwa kisheria?
Bila shaka, maana viongozi wa CCM na rushwa ni kama samaki na maji..Atakuwa amekula rushwa ya wafugaji ambao kimsingi ni wageni, halafu wakulima ndio wenzake na ndio wenyeji wa asili na ndio wapiga kura.
Ni kama Kilosa tu Wamasai wana pesa, ni ngumu kwa watu walewale kumaliza hii migogoro wale wanaingiza mifugo hadi Mikumi National park kuna maofisa wa Tanapa wpo kwenye payroll yao na wana kambi sehemu mbalimbali za kuchungia.
Ungekuwa umeziweka wewe ili kuvutia mjadalaWeka na zile ambazo vituo vya mafuta vinachomwa,watu wanavamia maduka ya watu,magari yanachomwa Moto weka picha zote.
Good riddance to bad rubbish.Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3692351View attachment 3692352
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Ma ccmNi wa chama gani?
Kwa kuwa hakujali hata kutoa pole kwa waathiriwa wa oct29 Nani naitynza pole yangu huenda wapo watakao stahili pole yangu!Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3692351View attachment 3692352
Ujumbe: Wenye Nchi ni Wananchi
Aliyeanza kuweka picha ndiye aendeleeUngekuwa umeziweka wewe ili kuvutia mjadala
Hamna haya mambo huko vijijini yapo bayana.Kama kawaida ya tanpol, lawama watapewa chadema
AiseeeCha kwanza tujiulize Tunduru kiasili ni pa wakulima au kwa wafugaji? Au wote kwa pamoja?
Sijaelewa Ccm kuna eneo gani wanafanya vizuri, kama wafugaji walihamishwa kule nyanda za juu kwa sababu za kimazingira, ni kwa nini walipohamishiwa hawakuandaliwa sehemu yao.
Kwa uzoefu ugomvi wa wakulima na wafugaji tatizo ni wafugaji wanathamini mifugo yao kuliko mashamba ya wakulima, cha pili wafugaji waa pesa yakuhonga rushwa hawa viongozi njaa wa ccm, hapo ndio kwenye kiini cha tatizo.
Cha kuchekesha Tanzania kuna mapori ya kutosha tatizo watu walioshindwa kuongoza kung'ang'ania madaraka.
Hao Narco tu wamehodhi mapori makubwa na hawayatumii.
Huna akiliWeka na zile ambazo vituo vya mafuta vinachomwa,watu wanavamia maduka ya watu,magari yanachomwa Moto weka picha zote.