Masikitiko: Diwani wa CCM Tunduru auawa

Masikitiko: Diwani wa CCM Tunduru auawa

Weka na zile ambazo vituo vya mafuta vinachomwa,watu wanavamia maduka ya watu,magari yanachomwa Moto weka picha zote.
Ile ilikuwa ni effect, na inaendelea, na itaendelea kwa kipindi kirefu tu, The cause, umeificha, baada ya watawala kugeuka mbwa mwitu dhidi ya raia wema wa Tanganyika, ilibidi raia watafute mbinu ya kujihami, walipoona kujihami huko kunahitaji mapambano walipambana! Ni nini kingine ambacho wangepaswa kufanya? Na kwenye mapambano kuna kushinda na kushindwa, na kwenye mapambano yale raia wema walishindwa, ila ujumbe wao ulifika, kwa lugha ambayo mtawala katili aliielewa, the battle is over, but the war is not.
 
CCM wanaangamiza Nchi..Ni ngumu mno kuongoza watu ambao hawakukuchagua..umewekwa tu kibabe na Mamlaka.
 
Back
Top Bottom