ndulazi ndula
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 515
- 94
Ivi ZITO wale wabunge wake 50 mbona hatuwaoni,waliishia wapi?
Inaonekana ukibishana na chizi na ww utakua chizi . Kwa heri tu
kiongozi mkuu wa wakuuu wote amechemka sana kuchukua fomu ya urais bila chama kuwa na mgombea, mi namshauri amchukue rafiki yake january kuwa mgombea wa act maana hata kule kwao walimuona anafaa hadi kufika tano bora.
Aliyataka mwenyewe!
ACT state sponsored party kuvuruga upinzani.
Mtoa fomu naye ana matatizo. Inakuwaje atoe fomu kwa mtu asiyemgombea? Ina maana wanaruhusu kuchukuliana? Sasa ona wanavyohangaika. Wamechukua fomu halafu hawana mgombea. Kama sivyo wampe kiongozi mkuu wa chama!Wamechukua form bila kuwa na mgombea,"uhuni" alofanyiwa na Mbowe hatausahau
Simplemind tuseme ukweli kwenye hili.
Siku zote CHADEMA walisema kuwa ACT iko sponsored na Lowassa ili agombee urais kupitia chama hicho.
ACT ilisakamwa sana lakini leo wote tunajua kuwa Lowassa anagombea urais kupitia CHADEMA na sio ACT.
Ujasiri wa ZZK kukitangaza chama chake kipya na kupata wagombea wengi wa ubunge katika majimbo ya bara na visiwani ni wa kupigia mfano.
ACT ina wagombea katika majimbo mengi bara kuliko CUF na NCCR kwa pamoja (2010 na 2015) na majimbo mengi Zanzibar kuliko CHADEMA ilivyowahi kuthubutu.
Sikubaliani na ZZK katika mambo kadhaa ila kwa hili la kuthubutu katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa kiwango hiki ninampa heko.
Mbinu za kisiasa mwaka huu ni "the end justifies the means" hata ikibidi kuungana na adui yako mkuu, hata ikibidi kuwatosa rafiki zako wa miaka mingi, hata ikibidi kuonja sumu. CHADEMA wameonyesha mfano na kutoa changamoto kubwa katika siasa na uchaguzi mkuu.
Sasa kaka unamwamsha?Tuachane na Zitto tupange mikakati ya kushinda uchaguzi!
Ngoja ajalibu huenda act wakawa kiburudisho kwawasikilizaji mikutanoni lakini kura ukawa na ndogo ccm
Mi nilidhani unapanga mkakati wa kulinda kura zako
Kumbe bado uko katika mkakati wa kushinda uchaguzi?
Mbona kura zimeshatosha mkuu.
Imebaki kuapishwa tu kwa Lowassa
Mtoa fomu naye ana matatizo. Inakuwaje atoe fomu kwa mtu asiyemgombea? Ina maana wanaruhusu kuchukuliana? Sasa ona wanavyohangaika. Wamechukua fomu halafu hawana mgombea. Kama sivyo wampe kiongozi mkuu wa chama!