kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa tanzania jina la zzk lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi zzk yupo ndani ya chadema kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.
Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya chadema hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata zzk?
Sasa kaka unamwamsha?Tuachane na Zitto tupange mikakati ya kushinda uchaguzi!
Wewe kila siku haukosi kuliandama jina la Zitto, amekufanyia nini mbaya? Naona thread zako nyingi ni Zitto, Zitto! Kuna siku nilikuuliza gubu kwa Zitto inatokana na nini? Kama Chama alisha hama; kama Ubunge alisha waachia, sasa kila muda Zitto, Zitto! Huna mada mbadala? Wenzako wapo kwenye kampeni za El., wewe bado upo na Zitto!
Mimi siyo msemaji wa ZZK! Mbona nyinyi mnamsemea sana Lowassa kwani ni wasemaji wake?Wewe ni msemaji wa ZZK!?
umereply kwa Ukali na katazo kubwa.
Zito hampendi mtu yeyote zaidi ya kujipenda mwenyewe.Utamuona tu muda si mrefu. Mpaka sasa hakuna mwanasiasa anayefikia level ya zitto.
Utamuona kwenye bunge lijalo na utashuhudia mambo mengi mazuri kutoka ACT.
Pamoja na kuwa wewe unachuki binafsi kwa zitto lakini tambua kuwa yeye hakuchukii bali anakupenda sana na anaamini ipo siku utakuwa Mzalendo.
Wewe kila siku haukosi kuliandama jina la Zitto, amekufanyia nini mbaya? Naona thread zako nyingi ni Zitto, Zitto! Kuna siku nilikuuliza gubu kwa Zitto inatokana na nini? Kama Chama alisha hama; kama Ubunge alisha waachia, sasa kila muda Zitto, Zitto! Huna mada mbadala? Wenzako wapo kwenye kampeni za El., wewe bado upo na Zitto!
Mimi siyo msemaji wa ZZK! Mbona nyinyi mnamsemea sana Lowassa kwani ni wasemaji wake?
Ungeanza wewe kumpa tigo El!Mmm! wewe mbona una mahaba hivi na zito! Si umtafute tu umgee!
Hiyo form ya urais wanatembea nayo mfukoni kama pakti ya sigara
Umerudi tena! Mbona post yangu haukuijibu? Kwanza nakushangaa sana kaka. Kama ungekuwa mmawia wa Muenda nisingekushangaa lakini kama wa huku TZ nakuonea huruma! Huwezi kumshupalia Zitto kila post yako wakati mwenzako anakula wese na dagaa huku Kigoma!Kumbe wewe ni member
Umerudi tena! Mbona post yangu haukuijibu? Kwanza nakushangaa sana kaka. Kama ungekuwa mmawia wa Muenda nisingekushangaa lakini kama wa huku TZ nakuonea huruma! Huwezi kumshupalia Zitto kila post yako wakati mwenzako anakula wese na dagaa huku Kigoma!
Kama upo Kakonko kwanini mnawekeana nyodo watu wa mkoa mmoja! Sisi wote wa Kigoma tunatakiwa tuungane ili nasi tupate maendeleo na hasa barabara ya kutuunganisha na mikoa mingine kwa lami. Toka Nyakanazi, Kakonko hadi Kidahwe hatuna lami, sasa wewe badala ya kupigania vitu vya maendeleo unaanza kumsema mtu! Mikoa mingine wanatusema sana kwasababu tumekalia fitna.Mimi nipo hapa kakonko centre nakula migebuka na kayoga pembeni kwa raha zangu
Kama upo Kakonko kwanini mnawekeana nyodo watu wa mkoa mmoja! Sisi wote wa Kigoma tunatakiwa tuungane ili nasi tupate maendeleo na hasa barabara ya kutuunganisha na mikoa mingine kwa lami. Toka Nyakanazi, Kakonko hadi Kidahwe hatuna lami, sasa wewe badala ya kupigania vitu vya maendeleo unaanza kumsema mtu! Mikoa mingine wanatusema sana kwasababu tumekalia fitna.