Lakini Lowassa si ndiye yeye na Chama chake cha jana ndio waliotupiga chini watu wa Kigoma, Rukwa na Tabora kwa miaka zaidi ya 50? Yeye kipaumbele kwanza kitakuwa Kanda ya Kaskazini!Tumchague lowasa awe rais hayo yote tutayapata kwa haraka sana,karibu cdm
Lakini Lowassa si ndiye yeye na Chama chake cha jana ndio waliotupiga chini watu wa Kigoma, Rukwa na Tabora kwa miaka zaidi ya 50? Yeye kipaumbele kwanza kitakuwa Kanda ya Kaskazini!
Lakini Lowassa si ndiye yeye na Chama chake cha jana ndio waliotupiga chini watu wa Kigoma, Rukwa na Tabora kwa miaka zaidi ya 50? Yeye kipaumbele kwanza kitakuwa Kanda ya Kaskazini!
Kwa mwana siasa au mfuatliaji wa siasa za hapa Tanzania jina la ZZK lilikuwa ni maarufu sana kupitia vyombo vya habari ikiwepo mitandao ya kijamii kipindi ZZK yupo ndani ya CHADEMA kwa kufuatilia mawazo na ushauri wake.
Lakini kwa sasa baada ya kuwa nje ya CHADEMA hatupati tena mawazo na ushauri wa aliyekuwa mwanasiasa mahiri mwenye hoja murua, nini kimekupata ZZK?
Nipo Dubai,kwani chama chake kimepata mgombea Urais?
Atapataje wakati chama kina bendera nyingi kuliko wanachama yaana na kugawa kadi bure bado wanabendera nyingi kuliko wanachamaDuuu huyo afande anajichosha maana hata akiomba udiwani hawezi kupata
Teeeeeeh,teeeeeh,teeeeeh nimeipenda hii mkuuu,wana akili kama za idi Amini