Awadh Samuel Kiwelu
Senior Member
- Oct 11, 2014
- 192
- 69
Mkuu hivi uwa unafanya majukumu mengine muda gani au wewe ni robot siyo binadamu wa kawaida aisee kila baada ya sekunde 30 unaandika post mpya AhahahhahaMkuu jamaa wanajichanganya,yaani chama hakina kuheshimiana kama ukoo wa kambale kila mtu ana sharubu
Mkuu hivi uwa unafanya majukumu mengine muda gani au wewe ni robot siyo binadamu wa kawaida aisee kila baada ya sekunde 30 unaandika post mpya Ahahahhaha
Cdm oooooeeee. Cdm ina kila kitu ila wamekosa dk . kama wangekuwa na dk wasingempa ugombea urasi mgojwa kama (nyambole) el.sasa kazi mlionayo ni kuanza kutembea na gali ya wagojwa.
Mara ya mwisho nilimshuhudia iringa akizomewa na wana iringa,hivi hajisikii vibaya kuzomewa?kuna siku atashushiwa kibano
Mkuu hivi uwa unafanya majukumu mengine muda gani au wewe ni robot siyo binadamu wa kawaida aisee kila baada ya sekunde 30 unaandika post mpya Ahahahhaha
Tafuta ilani ya ACT-Wazalendo ndo utafahamu kasahaulika au la . Kwa taarifa yako yuko juu vibaya sana anazunguka nchi nzima kueneza sera za chama chake na azimio la Tabora ndo maana wananchi wengi wanajiunga na chama anachokiongoza. Sisi wananchi tunamsikia sana na kimsingi tunakubaliana naye na misingi ya kurudisha maadili ya Taifa tuliyoyapoteza.Unatumia chombo gani cha habari ndugu yangu? TBC ,STAR TV au ITV hivi huwa havina habari za Kiongozi huyu kwani vina mwelekeo wa CCM au CDM. KOMBAINI YA MAFISADI ,WEZI, WALA RUSHWA ,WASIOPENDA MABADILIKO, WADINI NA WAKABILA.
Na muda wa kula na kuongea na familia yako?Mkuu kwako wewe kazi ninini?unaweza kukaa nyumbani na kusubiria wafanyakazi wako wakuletee mapato kutoka kwenye vitega uchumi vyako nahiyo ni kazi pia?au ulitaka nikapasue mawe?
Form ya urais iko mfukoni mwa mwigamba anatembea nayo kama leso
Nadhani Mboye amewaupgrade baadhi ya misukule yake kama huyu yuko a bit acrobat ili kuendena na hii trend ya election. Swali la kujiuliza, ikiwa mmoja amekuwa na speed hii je akiamua kuwa-upgrade hamsini si server zitafloat in a sec? plus na Lowasa akiongezea ufanisi (ufisadi) Duh! yaani hatuna JF.
ACT state sponsored party kuvuruga upinzani.
Wasaliti mwisho wao ni kugeukana sasa kitila naye kakataa kuchukua fomu chama kitamfia mikononi na bungeni harudi
Naona hiyo misheni imeboooma
Utamuona tu muda si mrefu. Mpaka sasa hakuna mwanasiasa anayefikia level ya zitto.
Utamuona kwenye bunge lijalo na utashuhudia mambo mengi mazuri kutoka ACT.
Pamoja na kuwa wewe unachuki binafsi kwa zitto lakini tambua kuwa yeye hakuchukii bali anakupenda sana na anaamini ipo siku utakuwa Mzalendo.
Hawawezi simamisha mgombea uraisi...kwa kuwa kura zao wamempa magufuli.