Masikini ndio hupenda kuzama chumvini

Masikini ndio hupenda kuzama chumvini

Halafu wengi wanaishia kupata kansa ya koo, nwisho wa siku wanawapa mzigo mama na baba zao.

Unforgetable
Kuzama chumvini imekuwa fasheni sasa kwa vijana. Sehemu yenyewe ile mh....
IMG-20200221-WA0005.jpeg
 
Kwa maisha niliyo yapitia na sehemu mbali mbali nilizo tembea katika harakati za kutafuta maisha nimegundua kuwa watu waopenda kuzama chumvini ni maskini hawana hela na hawana uwakika na maisha

Maskini anaogopa kuachwa na mwanamke hivyo anaamua kutumia njia mbadala (kuzama chumvini) ili kumpagawisha mwanamke ili tuu asiachwe

Huwezi ukawa na milion kazaa benki na ukawa na uwezo wa kuingiza pesa nzuri kwenye maisha yako alafu ukaenda kuzama chumvini

Maskini wengi wanatamani kurahisisha maisha kupitia mwanamke ..labda awe analelewa na jimama au awe anahudumiwa na mtoto wa kishua na ndio maana wanazama chumvini ili waonekane makonki kwenye mgegedo

Miaka ya nyuma niliwahi kuzama chumvini kwa mwanamke ambaye nilikuwa naogopa kuachwa nae lakini bado alikuja kuniacha tuu..sababu nilikuwa unga unga ,maisha ya maskani

Jambo la kuzama chumvini halitoweza kujirudia tena maishani mwangu ,kwa sasa naona niupuuzi ulio pitiliza..

Kama unatabia ya kuzama chumvini basi jijue wewe ni maskini mwenye maisha magumu ukipata hela utaacha tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ulichoweza kukifanya wewe kwasababu zako binafsi na sasa unashindwa kukifanya kwasababu zako binafsi usikonclude kwa wengine pia.
Don't generalize things in your life coz you might end up with unriched mind. Watu wanafanya vitu kutimiza furaha zao, kufikia ile level ya juu ya furaha/starehe aitafutayo katika kile akifanyacho.
Binafsi naingia chumvini kwasababu napenda, I like getting my partner teased na si kwa shallow reasons like what you have stated kijana.
 
Kuzama chumvini imekuwa fasheni sasa kwa vijana. Sehemu yenyewe ile mh....
View attachment 1366803
Saratani ipo tu bro, hata wanaokunywa vinywaji vya baridi sana in their lives wanaweza pia kupata saratani ya koo. Just put in your mind that anything too much is harmful mkuu.
Unaweza ukaikwepa ya koo ukaja kuipata ya ngozi, jicho, ini etc
Life style ya mtu ndio inayopelekea kupata tatizo flani, kikubwa ni kuwa moderate tu
 
Kwa maisha niliyo yapitia na sehemu mbali mbali nilizo tembea katika harakati za kutafuta maisha nimegundua kuwa watu waopenda kuzama chumvini ni maskini hawana hela na hawana uwakika na maisha

Maskini anaogopa kuachwa na mwanamke hivyo anaamua kutumia njia mbadala (kuzama chumvini) ili kumpagawisha mwanamke ili tuu asiachwe

Huwezi ukawa na milion kazaa benki na ukawa na uwezo wa kuingiza pesa nzuri kwenye maisha yako alafu ukaenda kuzama chumvini

Maskini wengi wanatamani kurahisisha maisha kupitia mwanamke ..labda awe analelewa na jimama au awe anahudumiwa na mtoto wa kishua na ndio maana wanazama chumvini ili waonekane makonki kwenye mgegedo

Miaka ya nyuma niliwahi kuzama chumvini kwa mwanamke ambaye nilikuwa naogopa kuachwa nae lakini bado alikuja kuniacha tuu..sababu nilikuwa unga unga ,maisha ya maskani

Jambo la kuzama chumvini halitoweza kujirudia tena maishani mwangu ,kwa sasa naona niupuuzi ulio pitiliza..

Kama unatabia ya kuzama chumvini basi jijue wewe ni maskini mwenye maisha magumu ukipata hela utaacha tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Waiter muongezee Chupa 2, amekuja MKWELI kuliko inavyo takiwa.

Mkuu umechelewa Sana,pesa haitupi furaha kamili..watu tumefanya chumvini ndiyo maisha yetu sasa
 
Back
Top Bottom