Mtu yeyote mwenye akili zake timamu Igunga akikipigia kura CCM hata baada ya kudhalilishwa kiasi cha KULALA NA MKE WAO WA NDOA hadharani, basi ni vema akaanza kujilaumu tu mwenyewe mapema maana watakachofanyiwa mara baada ya uchaguzi huo utakua hausemeki tena midomoni.
Chaguo ni lenu; kuwaenzi Vibaka na Wapiga Ramli au kutumia fursa hii kujikomboa wenyewe ki-uongozi hapo Igunga.
Oldonyo,Kwanini wasingempa kichapo uyo mjinga siasa hawezi anaganga njaa 2 kwa kuleta siasa za kibaguzi.
Mafisadi wako chama gani vile? Ni wale wanaotakiwa kujivua gamba au?....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Kutoka Mwanahalisi, September 14 - Alfred Lucas
NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa hali si shwari tena. Wanaojiita waasisi wa "mpango wa chama wa kujivua gamba" wameanza kutuhumiana kukivuruga chama, imefahamika...
.
"Mwiguru (Nchemba) anafanya kazi nzuri sana. Ameratibu mkutano huu vizuri. Kampeni zimekwenda vema. Ni kijana mwenye busara sana yule," ameeleza mtoa taarifa akimnukuu Mukama.
Kiherehere gani kilimpeleka Nape Igunga ?
MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....
JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACH WAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
- C'moon bro for the last ten years unaweza kutuambia ulikuwa unafanya kazi gani zaidi ya siasa??????? - Huo mstari wa kuganga njaa siuungi mkono lakini hili la siasa kutokuwa ajira yako nadhani unatuongopeaWAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU....
SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...
Not everyone who challenges u au CCM ni magwanda, kifupi it's pple against CCMMAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA
Habari ya Nape kukatazwa kwenda Igunga iliandikwa kwenye magazeti chanzo kikiwa hukohuko kwenye NEC/CC ya CCM.MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA
Mkuu usiwasingizie JF hii imetolewa na MwanaHalisi, gazeti ambalo uko in records kuliita la udaku na kwamba hakuna mtu serious analisoma....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA
- Sasa hiyo ungemwambia huyo baunsa wakati uleSIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU
- Ebanae wewe si ndiyo ulisema chama chenu huwa hakipeleki viongozi wa kitaifa kupiga kampeni kama vyama pinzani? Mbona unakula matapishi yako?????JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA
- Duh!!! Mkuu sasa yule fisadi wenu mkuu si ndiye alikuwa hai tebo wakati wa uzinduzi wa kampeni? Kumbuka ile siti ilikuwa ni yakoNAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA
- Hawa unaowaita mafisadi na wewe ni mmojawapo wa wakuu wa chama kinachounda serikali mmewachukulia hatua gani????HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Oldonyo,
WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...
MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....
JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI

Nape this post is rubbish, absolutely... utterly rubbishOldonyo,

Ni unfortunate kuwa kweli moto huzaa majivu; kwani umethibistisha tosha kuwa wewe ni majivu yatokanao na moto wa Kanali Nnauye, umegeuka kuwa ng'ombe ili wanapinduzi (na wapinga mapinduzi pia) wapate maziwa!!
Elimu yako inaonyesha kuwa walakini kiasi fulani.