Masikini Nape! CCM hawamwitaji tena Igunga

Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI

Nape umepoteza focus kabisa, unajibu hoja kitoto sana.

Bibilia katika Proverbs 17:28 inasema ''Even a fool is thought wise if he keeps silent, and discerning if he holds his tongue''

Kama alivosema nyambala, ukionekana igunga na kuhutubia mkutano, sorry sio hadi ukionekana, hata tetesi tu zikisikika kwamba uko igunga, mi kwa kupitia invisible natoa mshahara wangu wa mwezi
 
Oldonyo,
WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU......JUZI TU NI EKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHO WAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Nape achana na mambo ya uganga njaa hayo hayasaidii hapa maana kila mtu anaishi kwa kipato chake.

Vijana wenzako walikuonya kuwa unatumiwa kama vuvuzela baadaye utaachwa kama tambala la deki, leo hata mwaka hujapita mwenyewe umeanza kuyaona kuwa hutakiwi kwenye chama hata kwenye kampeni unaenda kwa kujifichaficha kitu ambacho ni aibu kufanywa na mtu mwenye cheo kama chako. Jaribu kutuliza akili jiulize kulikoni si kila nayekukosoa hakupendi au ni magwanda kama unavyodai wengine wanaona mbali kuliko unavyoona wewe wengine tumeishi na wazee wa CCM muda mrefu tunawajua, wale wazee wanajuana hawawezi kuangushana hata kama hawamtaki mtu hawawezi kumwambia face to face watatafuta watu kama wewe wafikishe ujumbe ili lawama zisiwafike wao zikufike wewe, lakini sintakulaumu kama binafsi unajua kuwa unatumika kama coverup lakini kama hujui pole sana.

Sikuelewi unaposema umewanyima usingizi mafisadi, kina nani hao Rostam? Lowassa? kijana huijui CCM labda Mzee Nnauye alikuacha mdogo. Rostam uliyepiga kelele ajivue hakuondoka kwa kelele zako na wewe umeshuhudia kama hujui wao wamesaelewana wamepigiana magoti RA alikuwepo kwenye ufunguzi wewe hukuwepo kwanini usijiulize najua unajua. Mwisho nakushauri usiende kwenye kampeni kwa vile kama CCM kushinda Igunga inaweza kushinda bila ya wewe lakini kama utalazimisha kwenda kwa lengo la kuwatambia JF utaniambia matokeo yake.
 
Nape this post is rubbish, absolutely... utterly rubbish

How could jibu watu kama uko kanga moko laki si pesa???

Hao mafisadi ndio wenye jimbo na kwa taarifa yako tu, CCM sasa imekua kama Somalia... ni factions tu!!!! Kwahiyo Igunga sio ya kwako, Igunga na kundi jingine... HALAFU UNAJISIFIA ATI UMEINGIA IGUNGA NA KUTOKA BILA MAFISADI KUJUA KWAHIYO KINAWAUMA... Unanyatia jimbo??? and you still call yourself a leader??

Get a life Nape... acha siasa kapige piano kanisani Mungu akuokoe

SHAME ON YOU

huyu jamaa mweupe sana upstairs!
 
huyu jamaa mweupe sana upstairs!
Kwa cheo chake binafsi huwa nategemea kusoma constructive ideas kutoka kwake lakini mara nyingi anakuwa mwepesi sana kuwa-driven na emotions za members tofauti na viongozi wengine ambao ni member humu.
 
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Kama akili ya Nape ni hii asingepewa nafasi muhimu kama aliyonayo katika CCM, hawa watakua kina INVISIBLE wamefanya ujanja ujanja, wakatumia id ya nape afu wakapost ili jamaa aonekane wa ajabu, mi nakataa MWANDISHI WA COMMENTS HIZI SI NAPE, HAPANA, HAIWEYEKANI,
 
Nape kabla ya siasa profesional yako ni nini?
 
Kama akili ya Nape ni hii asingepewa nafasi muhimu kama aliyonayo katika CCM, hawa watakua kina INVISIBLE wamefanya ujanja ujanja, wakatumia id ya nape afu wakapost ili jamaa aonekane wa ajabu, mi nakataa MWANDISHI WA COMMENTS HIZI SI NAPE, HAPANA, HAIWEYEKANI,

Kwahiyo ww huamini kama nape anaweza toa hoja za kijinga? ok inawezekana hayo unasema but hata kwenye majukwaa nape ni mweupe coz anachokiongea leo kesho ashakisahau!!!! kama kweli ni kiongozi makini vp kamp[eni ya kujivua gamba imeishia wapi? to nape too much talking but no action....
 
Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go. Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.
 
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Nape anachoandika hapa kinadhihirisha maneno ya mwanaforum oldonyo kwamba anaganga njaa. Anajisifia elimu wakati inafahamika amefanikiwa kuunga unga hadi kufika hapo kwa huruma na hisani ya ccm baada ya kuchemsha kidato cha sita. Hata hiyo masters anayosoma mzumbe anatuhumiwa kuiba andiko la mtu na kulitumia kimakosa. Sasa hadi hapo tu anaonekana ni mweupe kabisa upstairs.

Nape hajawahi kuajiriwa na mwajiri mwingine zaidi ya ccm na ndio sababu hata kama ccm watamfanyia visa kiasi gani hawezi kuondoka, atang'ang'ana afe nayo.

Mafisadi wamemzidi nguvu hadi anakwenda igunga kwa kuvizia na kunyatia kama mwizi halafu anajidanganya kuwa amewanyima usingizi mafisadi wakati yeye ndiye kanyimwa usingizi na mafisadi.

Kama fisadi aliyejivua gamba anakuwepo high table kwenye uzinduzi wa kampeni za chama lakini katibu wa mwenezi anazuiwa kuwepo hiyo ni ishara tosha kwamba katibu mwenezi hana uzito wowote ndani ya chama kuliko mafisadi.
 
Nape ni kijana shupavu sana na CCM ni chama kubwa. Najua mafisadi wanapumulia mashine sasa kwasababu they must go. Kuhusu Rostam kwenda Igunga ni kihelehele chake tu na wala hakuna aliyemwita huko ni namna yake ya kujipendekeza kwa CCM ili asishitakiwe kwa uhujumu uchumi wake kwa Taifa letu. Yeye alisema kuwa CCM ina siasa uchwara sasa amesahau nini tena huko? AAche unafiki.

acha kudanganya watu mkuu kamati kuu ya ccm ndiyo imemwangukia fisadi rostam ili awasaidie kumnadi mgombea wao.

Fisadi rostam hawezi kujipendekeza kwa ccm bali ccm ndio wanajipendekeza kwake. Na ndi sababu unaona hadi nape anazuiwa kwenda igunga asije akamuudhi bwana mkubwa fisadi rostam akaacha kuwasidia.
 
Afadhali kaka umemshauri kijana huyu vizuri,tatizo lake kila anayempa ushauri anamuona ni mpinzani either Fisadi au Chadema...NA MIE NAONGEZEA KWAMANENO YA HERUFI KUBWA AJIULIZE YUKO WAPI BEST YAKE CHILIGATI ALIYETONA NAE KWENYE SINGLE YA GAMBA...MZEE HUULE anakijua chama ndio maana unaona aingii kichwa kichwa anaingia kwa kubp....wanamwacha yeye ndio aingie mkenge...Nape alijijengea sifa sana kwa vijana,kwa misimamo aliyoonesha,alipopewa vyeo hivyo akajisahau kila kijana mwenye mlengo wa maendeleo na kupigania haki kwake anaonekana ni adui wake kisiasa...pole yake

Nape achana na mambo ya uganga njaa hayo hayasaidii hapa maana kila mtu anaishi kwa kipato chake.

Vijana wenzako walikuonya kuwa unatumiwa kama vuvuzela baadaye utaachwa kama tambala la deki, leo hata mwaka hujapita mwenyewe umeanza kuyaona kuwa hutakiwi kwenye chama hata kwenye kampeni unaenda kwa kujifichaficha kitu ambacho ni aibu kufanywa na mtu mwenye cheo kama chako. Jaribu kutuliza akili jiulize kulikoni si kila nayekukosoa hakupendi au ni magwanda kama unavyodai wengine wanaona mbali kuliko unavyoona wewe wengine tumeishi na wazee wa CCM muda mrefu tunawajua, wale wazee wanajuana hawawezi kuangushana hata kama hawamtaki mtu hawawezi kumwambia face to face watatafuta watu kama wewe wafikishe ujumbe ili lawama zisiwafike wao zikufike wewe, lakini sintakulaumu kama binafsi unajua kuwa unatumika kama coverup lakini kama hujui pole sana.

Sikuelewi unaposema umewanyima usingizi mafisadi, kina nani hao Rostam? Lowassa? kijana huijui CCM labda Mzee Nnauye alikuacha mdogo. Rostam uliyepiga kelele ajivue hakuondoka kwa kelele zako na wewe umeshuhudia kama hujui wao wamesaelewana wamepigiana magoti RA alikuwepo kwenye ufunguzi wewe hukuwepo kwanini usijiulize najua unajua. Mwisho nakushauri usiende kwenye kampeni kwa vile kama CCM kushinda Igunga inaweza kushinda bila ya wewe lakini kama utalazimisha kwenda kwa lengo la kuwatambia JF utaniambia matokeo yake.
 
<br />
<br />
Oldonyo,
WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU......JUZI TU NI EKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHO WAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Nitakushukuru sana kama utayatolea ufafanuzi maneno kwenye kijani hapo. Mbona wanaendelea kujidai tena nchi nzima? au kuna baadhi tu unaowaongelea hapa?
 
Ukisoma post za Nape utagundua anauwezo mdogo sana wa kutafakari mambo huwa siamini kama ni yeye au kuna mtu anatumia Id yake humu !
 
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI

Nape kampa MS password yake aisee. Anayebisha anyooshe kidole.
 
Ukisoma post za Nape utagundua anauwezo mdogo sana wa kutafakari mambo huwa siamini kama ni yeye au kuna mtu anatumia Id yake humu !
<br />
<br />
Uwezo wa mtu kamwe haupimwi kwa aina ya posts anazoandika JF bali utendaji wa kazi. Vyovyote utakavyomuona lakini ameweka historia ya kipekee katika vita dhidi ya mafisadi hadi kupelekea kujiuzulu kwa RA. Mnyonge mnyongeni...............
 
Oldonyo,

WAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU.... SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...

MAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA SIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU....

JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA....NAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA, HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI

Nape sikutarajia majibu yenye kuzua maswali mengi kama ulivyofanya! Kwanza kwa jinsi ulivyopresent majibu hayo ni kama ID yako imekuwa hacked!
Ushauri kaa kimya kama huna la kuongea, pili tunza sana password yako vingivevyo itakuwa balaa kwako na siku ukijua umepotea jua ulishapotea zamani sana.
 
Back
Top Bottom