Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,275
- 64,412
Wewe ni tajiri au masikini?Ngoja maskini wenzako waje. Myajenge vizuri.
Unatarajiwa kwenye utajiri upi?Hii mada haituhusu sisi matajiri watalajiwa😎
Huyo si ndio yule Kapuku wa kule Makapuku Forum? nadhani huu uzi haumuhusuWewe ni tajiri au masikini?
Anakuja kutuonyesha utajiri wakeHuyo si ndio yule Kapuku wa kule Makapuku Forum? nadhani huu uzi haumuhusu
Pesa ni karatasi, tunaongelea umiliki wa miundo mbinuPesa au umeambiwa kunautajiri wa kumiliki mazumbukuku
Kama ni hivyo nitajenga pia majengo mengiPesa ni karatasi, tunaongelea umiliki wa miundo mbinu
Ili yazalishe nini?Kama ni hivyo nitajenga pia majengo mengi
Hutaki kuwa tajiri?Uko sahihi masikin mwenzangu
Kiwanda chako kinazalisha magari ya aina gani tajiri?Masikini mkihitaji ushauri yakinifu mtanicheki
Ki vipi?Helaaaaaa
None of those two.Wewe ni tajiri au masikini?
Tajiri wa leo ni member Kuni 😊😊😊😊Hii mada haituhusu sisi matajiri watalajiwa😎