Masikini Mrembo huyu awezi Kubeba ujauzito!!

Pole sana Millen, asikate tamaa suala la ndoa. Msingi wa ndoa ni upendo kati ya wawili, watoto ni zawadi toka kwa Mungu anaweza awape au asiwape. Kama walivyosema wengine kuna option ya kuadopt.
 
Hebu tuambie kwa kina huu ugonjwa unasababishwa hasa na nini?
mimi niliambiwa ni hormonal imbalance,estrogen inakuwa nyingi zaidi so inasababisha endometrial cells zinagrow outside of the uterus,ila kiuhakika kabisa bado haijulikani the exact cause,wengine wanasema depression pia inasababisha
 
Mambo haya ni ya kiimani zaidi.Ndio maana Neno linasema usifanye kupita imani yako.Ni ukweli usiopingika wapo waliofanikiwa

Hamna anayefanikiwa, kuna mmoja alitoa ushuhuda kapona VVU hadharani mbele ya macho yangu. Wakati kila siku anapata dozi yake. Wale naive waliosikiliza ushuhuda huo wanaweza kuwa waliamini.

Mie nadhani ni desperation ya hali ya juu inachangia, Anyway, ni imani zaidi.

Ulichoandika hapo juu hebu kisome tena.

Nikisome tena wakati nimekitoa mawazoni mwangu? Anyway naheshimu imani za wengine ila ukweli ni vizuri kuambiwa. Ukiugua kunywa dawa, vya miujiza hivi, nyie haya tu.
 
Hivi kwa nini watu awana Iman na Baba rizz moja hasa kwenye Mapicha ya Watoto wazuri wazuri ha!ha!Kila anapoonekana tu watu maswali ya kujiuliza

BABA RIZZZ HAFAI...HATA YULE SJUI KAMATA

NAE KASHACHEZEA RUNGU ZAMAN

Nawapo wengi sana BABA RIZ KWA WATOTO WAZURI NOMA
 
Usiangalie upande mmoja wa shilingi kumbuka Mungu ndiye aliye kuumba anakujua kuliko unavyojijua wewe. Wanadamu wanamaneno Mungu analo Neno lililo shindikana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana usikate tamaa.
 
Hamna anayefanikiwa, kuna mmoja alitoa ushuhuda kapona VVU hadharani mbele ya macho yangu. Wakati kila siku anapata dozi yake. Wale naive waliosikiliza ushuhuda huo wanaweza kuwa waliamini.

Mie nadhani ni desperation ya hali ya juu inachangia, Anyway, ni imani zaidi.

Nikisome tena wakati nimekitoa mawazoni mwangu? Anyway naheshimu imani za wengine ila ukweli ni vizuri kuambiwa. Ukiugua kunywa dawa, vya miujiza hivi, nyie haya tu.

Kwa hiyo research yako ni ya mtu mmoja tu tena wa Vvu!?!Hakuna wenye shida nyingine ka kupata watoto waliofanikiwa?! Halafu unataka tukuamini!? Kafanye tena utafiti
 
Sifanyi utafiti, nasema kilichopo. Miujiza ni kifikra zaidi, hiyo ni case moja tu.

Kwa hiyo research yako ni ya mtu mmoja tu tena wa Vvu!?!Hakuna wenye shida nyingine ka kupata watoto waliofanikiwa?! Halafu unataka tukuamini!? Kafanye tena utafiti
 
Pole mrembo usikate tamaa zama kwenye maombi tu mungu atatenda mujiza
 
Sasa afunguke, yeye anataka mtoto au anataka kuolewa?
Maana kuna wanaume matasa! akiolewa naye huyo hawezi kumsumbua kuwa anataka mtoto!
 
Happy ni jasiri na ni shujaa wa ukweli kwa kuwapa awareness mabinti na wanawke kwa ujumla kuhusu ugonjwa huo!
 
Wakati mwingine unashauriwa kufikiri kidogo kabla ya kupost...umeambiwa kutoa mimba ni chanzo cha kupata huo ugonjwa?
sasa hiyo mimba alitoaje wakati hawezi kushika mimba?
kumbaf

Hilo Tusi Kikwetu Unamaanisha Kuwa Mimi Ni RIJALI Hivyo Hebu Tafuta Tusi Lingine Litakaloniumiza......JUHA Mkubwa!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom