Itakuwa Kachomoa Sana Injini Enzi za Ujana ( Usichana ) Wake Kudadadeki...............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Dada kuna kitu hataki tuu aachie ya dunia apige magoti kwa mwenyenzi mungu kwa wakristo kama sisi amkabidhi Yesu maradhi atapona.Kuolewa asihofu ataolewa tuu sema bado moyo wake hajauachia
Nimekuelewa Mwana JF Mwenzangu Na Niwie Radhi Sana Kama Nimekukwaza ILA Tupo Pamoja Na JF Yetu na Tunalisongesha Kwa Raha Zetu.
Nimekuelewa Mwana JF Mwenzangu Na Niwie Radhi Sana Kama Nimekukwaza ILA Tupo Pamoja Na JF Yetu na Tunalisongesha Kwa Raha Zetu.
Itakuwa Kachomoa Sana Injini Enzi za Ujana ( Usichana ) Wake Kudadadeki...............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ila huu uamini wa aina hii mnautoaga wapi??
Mtu unakuta ana VVU anaacha ARV eti ataponywa, mtakufa kwa ujinga wenu.
Ulichoandika hapo juu hebu kisome tena.Ila huu uamini wa aina hii mnautoaga wapi??
Mtu unakuta ana VVU anaacha ARV eti ataponywa, mtakufa kwa ujinga wenu.
Itakuwa Kachomoa Sana Injini Enzi za Ujana ( Usichana ) Wake Kudadadeki...............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Usijali mkuu tuko pamojaNimekuelewa Mwana JF Mwenzangu Na Niwie Radhi Sana Kama Nimekukwaza ILA Tupo Pamoja Na JF Yetu na Tunalisongesha Kwa Raha Zetu.
wanaomjua wamshauri aende kwa TB joshua.
Mimi si mshauri huyu mzee msanii