agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Ulitaka wabembelezwe kiss wana pesa eeeeUnadhani ni rahisi kama unavyofikiri kuzalisha matajiri.ujielewi ww.watu wamejenga unakuja kirahisi kutaka kuwachafua kwa karatasi za kipuuzi.hakuna anayepinga mapambano ya dawa za kulevya ila mbinu zile za kudharirisha watu.Najua vijana wanaathirika lkn tutumie njia njema na kufuata misingi ya utawala bora na sheria angalia sasa kati ya 65 amekuja 4 tena maarufu tu kwa sababu aliwarenga wale hwachafue ndo maana wengine akawa anataja a.k.a.unapambana na jambo km ilo unfanya maigizo.mwisho ni kuwadharirisha tu.
Huo ni wendawazimu na ufinyu wa kufikiri, yaani mtu asiguswe kisa mfanyabiashara mkubwa au maarufu, hayo ndo yametufikisha hapa tulipo, kama wanaona huko kenya ndo wataachwa wafanye wanavyotaka kisa utajiri waambie waondoke hata sasa hivi. Umaskini wa akili ni umaskini mbaya zaidiKenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Kabla hajaenda polisi aliita waandishi wa habari, Atakapoachiwa kiukweli hawezi kuacha kuita waandishi wa habari! Ukiona kimya ujue debe bado lina thamani!Sheria inasema atashikiliwa si zaid ya SAA 48. Sasa yeye alishachunguzwa na hakupaywa na hatia obviously yupo masaki anapuliza siga
Unauhakika Manji alimtusi mteule wa raisi?If that is da case tgen salute to Maguful this had never happon...huwez kutukana mteuzi wa rais mpumbavu kwenye vyombo vya habari hata kama umekwaza kuna kumanage anger
WanaShikiliwa na kilo ngapi??Sawa lakini isiwe ya kufanya biashara haramu kama hawa wanaoshikiliwa!
Yani mitanzania ikiona mtu ana pesa inamuabudu kama mungu waoHuo ni wendawazimu na ufinyu wa kufikiri, yaani mtu asiguswe kisa mfanyabiashara mkubwa au maarufu, hayo ndo yametufikisha hapa tulipo, kama wanaona huko kenya ndo wataachwa wafanye wanavyotaka kisa utajiri waambie waondoke hata sasa hivi. Umaskini wa akili ni umaskini mbaya zaidi
Wanatakiwa watambue kuwa kuna tofauti kati ya serikali moja na nyingine, walidhani business as usual nadhani katika hili JPM asilegeze kamba kabisa ili heshima irudiMpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Yes bossHuo ni mtazamo wako nadhan!
Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Yes boss
Mkuu uchunguzi unafanyika, kama hahusiki ataachiwaWanaShikiliwa na kilo ngapi??
Hatuwachukii hata kidogo! Ila baadhi yao huwa na dharau sana, tunachukia dharau zao! Ukimdharau MKUU wa mkoa na wewe ndo ukaamua kumpangia siku na saa ya mahojiano maana yake umetudharau wote mkoani! Yaani Mh Makonda ndo afuate ratiba ya Manji wala si Mtuhumiwa Manji afuate ratiba ya MKUU wa mkoa! na watu wengine wanaona sawa tu!Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Nakushukuru umekubali nilichosema. Na anaye support kila kitu, hata kama akiambiwa kichaa, yuko chama gani?Chadema wanapinga kila kitu kwa sasa...kama nawe unapinga uko chadema pia mzee.