Hujamsikia yule mbunge wa sanamu ya diamond bungeni, haya ya kusingiziwa mihadarati yasikie kwa wengine!Hawez toka kimya kimya wewe mhindi unamjua au? Labda gari yake ndio imetoka kimyakimya. Wote wawili yeye na Gwaji hawana ustaarabu wa kukaa kimya tutaelewa tu...mipicha tutaiona kote
Ushabiki unatoka wapi mkuu yeye mwenyewe alisema nimkubwa kwa Makonda nani mwenyekiti wa klabu kubwa Africa hivyo hawezi kuharibu ratiba zake na hivyo badala ya ijumaa ataenda alhamisi alitakiwa aseme tu anaenda au haendi kama Mbowe basiNajua unaushabiki na vita hii, hoja , kisheria inasemaje kumshikiria mtu awe na kosa au asiwe na kosa?pili wamesema anauza madawa ya kulevya, je kwa sasa wanamshikiria kuwa wamemkata anayao aidha ofisini, nyumbani kwake , au mahali kokote? Na je unapaofanya hivyo bila ushahidi kumshikiria kitua cha polisi, inakusaidia nn kwasababu hakutakuwa na kesi wala mashitaka yenye mashiko?hapa serikali lazima inaingia gharama, na itawalipa siku za baadaye
Ohoooo!!!Duuuuh hilo tako la mkuu wa mikower lina haki kumfanya apewe tuhuma za kugongwa.
Haki inapatikana selo au mahakamani?Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
We unawaza kugongewa Mke watu tunawaza uchumi. Wanasiasa sasahivi wamegundua kuwekeza nchi jirani ndosalama yao maana ukiwekeza hapa utafanywa masikini. Fikiria club bilcanas ingekuwa Uganda ingekuwa imebomolewa? Siasa za ujinga zinaua nchi. MTU mwenye address kwanini usimwite kwa barua? Lengo ni kumvunjia uaminifu mbele za watu au? Wanaoitwa kwenye media niwale wasio na address maalumu.Usikubali kupelekeshwa kisa uzaifu wako
Sasa mtu km anauza unga wananchi wanateketea wewe unatetea uwekezaj??
Cku nyingine utapewa msaada na jamaa half ukimkupa anakugongea mkeo hutasema kitu **** off
Mkuu, Chadema wanaingiaje hapa? Anayepingana nawe siyo lazima awe Chadema. Don't try to be that low.Lakini ajifunze kuheshimi mamlaka. Asubiri siku chadomo wakibahatisha kupata madaraka, mwaka 3035 ndiyo aendeleze dharau zake
Kwa ujinga gani alionao wakati amekuwa-alerted kuwa watampekuwa??? Hata kama angekuwa mwehu, sema shida naye akishinda kesi za madai anaomba alipwe senti/shilingi moja. Kuna mtu baada ya kadhia hii kupita na ushahidi ukikosekana anatakiwa ang'ang'niwe alipe fedha ya kumtia fadhaa yeye na waliomtuma...Huwezi kushindana na Dola,alidhani watu hawajajipanga,kaambiwa afadhali umekuja mapema,ngoja tukapime damu yako kwanza,halafu tukakusachi ofisini na nyumbani.Kwa mtu kama manji kumpekuwa ofisini lazima watakuta na nyaraka zingine ambazo hazitakiwi kufika mkikononi mwa polisi!!
Watu wengine mnatia huruma! Kwa kuwa ni mhindi basi unaona ni ajabu Kuwekwa ndani! Jana kuna afisa wa polisi aliongea na wanahabari akasema tangu aripoti na askofu bado wanawashikilia! Hivi unadhani wanawashikilia huku wakilala majumbani kwao? Hatufurahii hilo lakini si la ajabu!Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana
Maskini manji???Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Chadema wanapinga kila kitu kwa sasa...kama nawe unapinga uko chadema pia mzee.Mkuu, Chadema wanaingiaje hapa? Anayepingana nawe siyo lazima awe Chadema. Don't try to be that low.
Nahuo ndo ukweli mbona akna dangote,billgates,caros slim wanaheshimu serikali zao Kwani hawa ni akina Nani? Najua hwawez amin saiv ila baadae wataamin tu.... Halafu mwenyenchi angekuwa kama wanavofikiria wao makonda angeshitakiwa lakini KWA magufuli hahaaaa... WAKAJIANDAEEMpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Uijue ili iweje? Kama una msosi upeleke pale central utapokelewa!Huyo kamanda Siro anajisemea tu kwamba wamewaweka ndani Manji na Gwajima sasa atwambie ni sero gani hiyo?
Una uwakika?Hata akikaa wiki nzima bado haitoondoa ukweli kama sisi wote tunaofurahia hatuwezi kumfikia utajiri wake hata robo!
Kumpekuwa mtuhumiwa ni process tu ya kisheria kabla ya kufika mahakamani,na sio lazima ukutwe na kidhibiti ukipekuliwaKwa ujinga gani alionao wakati amekuwa-alerted kuwa watampekuwa??? Hata kama angekuwa mwehu, sema shida naye akishinda kesi za madai anaomba alipwe senti/shilingi moja. Kuna mtu baada ya kadhia hii kupita na ushahidi ukikosekana anatakiwa ang'ang'niwe alipe fedha ya kumtia fadhaa yeye na waliomtuma...
Unadhani ni rahisi kama unavyofikiri kuzalisha matajiri.ujielewi ww.watu wamejenga unakuja kirahisi kutaka kuwachafua kwa karatasi za kipuuzi.hakuna anayepinga mapambano ya dawa za kulevya ila mbinu zile za kudharirisha watu.Najua vijana wanaathirika lkn tutumie njia njema na kufuata misingi ya utawala bora na sheria angalia sasa kati ya 65 amekuja 4 tena maarufu tu kwa sababu aliwarenga wale hwachafue ndo maana wengine akawa anataja a.k.a.unapambana na jambo km ilo unfanya maigizo.mwisho ni kuwadharirisha tu.Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Naona umeanza ngonjera kama zile za sakata la dangoteKenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Nani kakwambia kuna watu wanafurahia? Tunafurahia vita dhidi ya madawa ya kulevya inaenda vizuri lakini bila kujali Nani yuko ndani maana ni kwa nia njema! Kama hahusiki ataachiwa tu, kama anahusika mwache abebe mzigo wake!Hata akikaa wiki nzima bado haitoondoa ukweli kama sisi wote tunaofurahia hatuwezi kumfikia utajiri wake hata robo!