Masikini Mange Kimambi

Kikweli kesho ni siku yangu ya kunywa bia kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 4 usiku haka laki kananitosha kabisa, Boom box 3, napiga mziki wangu basi
 
Kikweli kesho ni siku yangu ya kunywa bia kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 4 usiku haka laki kananitosha kabisa, Boom box 3, napiga mziki wangu basi
 
Watanzania sio wajinga kukubali kuendeshwa na hawa wapuuzi wanaokula bata nje ya TZ. Kama ni maandamano yalikwepo sana tu tena enzi za IGP mtata Mahita. Hata hawa CHADEMA walishawahi andamana hadi hawara wa Dr Slaa akapasuliwa usoni kwa kipigo. Kina Lipumba na Slaa walikuwa wanakaa mstari wa mbele kwenye maandamano ndo maana wananchi walisapoti harakati zao.
 
Hii ni vita, usipotoka bado kina Fwele watakuja kukuteka, kabla ya kuua wana kufir@@ kwanza. Bora utoke kama kufa ufe ukisaka haki ya vizazi vijavyo, usijiangalie wewe ( angalia walio nyuma yako )

Seran mda wetu umefika boss wangu
Yani we achaa nmekaa hapa nawazoom walivyojazana kila mtaa, uwanjani sasa usiseme! Wakazi hatupo wageni sasaπŸ™ŒπŸΎ
 
Yani we achaa nmekaa hapa nawazoom walivyojazana kila mtaa, uwanjani sasa usiseme! Wakazi hatupo wageni sasaπŸ™ŒπŸΎ
Seran Usijali, Ukombozi umefika .. Hiyo twaita mfa maji haishi kutapa tapa
 
Upo sahihi sana mkuu!.
 
We mwehuu kweli unamuonea aibu MTU Baki badala yakujionea aibu wewe na kizazi chako punguani kweli
 
Kumbe haya ni mashindano na kuogopa AIBU ?!!!!! Na sio kwamba kuna mambo hayapo sawa na watu wana grudges hivyo kutaka kuonyesha grudges zao (be it the wisdom of the choice of day might be questionable)...

I might not agree of what you say, but i will fight to the death for your right to say it....; Hio ndio Dunia ninayotaka kuishi....
 
Watz ni wasenge wasenge kwa uoga.
Nitawaomba radhi ikiwa kesho tutakinukisha haswa. Nitakuwepo
Kwamba wasipokuunga mkono ndio unawatukana ? Una tofauti gani na hao wengine wanaowanyima hao haki zao kama na wewe unawashurutisha watu kufanya unachoona kwako ni sawa ?
 
Si mara ya kwanza kuwa dissapointed, 2015 lilimkuta anajua

Lakin this time hata wasipo andan kuna mbegu imepandwa na itachepua
 
...Subiri kwanza uone, ndipo umpe Pole!
Nikuulize kidogo, Wewe Utatoka ? Au unajiandaa TU kumpa Mange Pole ??? πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Kumbe hamnazo! Kila mtu akisema akiona nyomi anatoka nani atatoka?

Unataka kuandamana kwa kufata mkumbo! Ukitoka naombea uvunjwe miguu
Polisi wamejiandaa kishari, raia tukiwa wachache hatuwezi kuwazidi nguvu lazima tuhamasishane tuwe wengi.

Nimefurahi kuona mwarabu fighter kajitokeza front kuandamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…