Maisha ya ukapera yanauma sana.Jioni hii nimepita maeneo Fulani hivi, mara tu ya kuja bongo chap.
Aisee nimeona makapera wenzangu wamekaa wanapata chochote cha usiku kwa hawa wamama wanaouza chakula hasa wakati huu wa mfungo.
Nimejionea huruma sn kapera mie pamoja na wenzangu.Kiukweli maisha ya hivi yanauma sana.
Mungu saidia tupate wake.
Oiiiii oiiii Al -watanKapera hela, atakula vyote vya dunia na ahera
Msela si kushindia pera, tumbo hoi machela
Kata funua ki Ben Bella, bila mke wa kukera
Au wa kuomba kunuliwa dera kwa jealous
Kataa umasikini, utakula hata Serena
Acha magirini kama ya Chenge na Werema
Hata ukioa, kama fedha hujatoa
Bibie takuzodoa kwa ugali uliopoa
Kapera faida yake haulizwi alipolala
Arande ka dudumizi kwa spidi kama swala
Kivyakevyake kama Ras Pompidou
Mpaka atapoamua kusema basi masista du
Joseverest katekwa na wang'oa kuchaJoseverest! !!!! Kalala
Hahaha kapelaKapera hela, atakula vyote vya dunia na ahera
Msela si kushindia pera, tumbo hoi machela
Kata funua ki Ben Bella, bila mke wa kukera
Au wa kuomba kununuliwa dera kwa jealous
Kataa umasikini, utakula hata Serena
Acha magirini kama ya Chenge na Werema
Hata ukioa, kama fedha hujatoa
Bibie takuzodoa kwa ugali uliopoa
Kapera faida yake haulizwi alipolala
Arande ka dudumizi kwa spidi kama swala
Kivyakevyake kama Ras Pompidou
Mpaka atapoamua kusema basi masista du
Mi nina Bi. Zuhra, nawatetea vijana na wale ma senior bachelors tu.Hahaha kapela