Masikini makapera(bachelors)

tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
19,750
24,826
Maisha ya ukapera yanauma sana.Jioni hii nimepita maeneo Fulani hivi, mara tu ya kuja bongo chap.
Aisee nimeona makapera wenzangu wamekaa wanapata chochote cha usiku kwa hawa wamama wanaouza chakula hasa wakati huu wa mfungo.
Nimejionea huruma sn kapera mie pamoja na wenzangu.Kiukweli maisha ya hivi yanauma sana.

Mungu saidia tupate wake.
 
Kapera hela, atakula vyote vya dunia na ahera
Msela si kushindia pera, tumbo hoi machela
Kata funua ki Ben Bella, bila mke wa kukera
Au wa kuomba kununuliwa dera kwa jealous
Kataa umasikini, utakula hata Serena
Acha magirini kama ya Chenge na Werema
Hata ukioa, kama fedha hujatoa
Bibie takuzodoa kwa ugali uliopoa
Kapera faida yake haulizwi alipolala
Arande ka dudumizi kwa spidi kama swala
Kivyakevyake kama Ras Pompidou
Mpaka atapoamua kusema basi masista du
 
Kaa nyumbani kwako pika chakula, iyo hali haita kukuta yaani hauto jihisi hivyo unavyo jihisi .... Mke ni muhimu, hapa tunajiandaa na wife twende zetu century cinema tukacheki movie ... :):p

Maisha ya ukapera yanauma sana.Jioni hii nimepita maeneo Fulani hivi, mara tu ya kuja bongo chap.
Aisee nimeona makapera wenzangu wamekaa wanapata chochote cha usiku kwa hawa wamama wanaouza chakula hasa wakati huu wa mfungo.
Nimejionea huruma sn kapera mie pamoja na wenzangu.Kiukweli maisha ya hivi yanauma sana.

Mungu saidia tupate wake.
 
Kapera hela, atakula vyote vya dunia na ahera
Msela si kushindia pera, tumbo hoi machela
Kata funua ki Ben Bella, bila mke wa kukera
Au wa kuomba kunuliwa dera kwa jealous
Kataa umasikini, utakula hata Serena
Acha magirini kama ya Chenge na Werema
Hata ukioa, kama fedha hujatoa
Bibie takuzodoa kwa ugali uliopoa
Kapera faida yake haulizwi alipolala
Arande ka dudumizi kwa spidi kama swala
Kivyakevyake kama Ras Pompidou
Mpaka atapoamua kusema basi masista du
Oiiiii oiiii Al -watan
 
Kapera hela, atakula vyote vya dunia na ahera
Msela si kushindia pera, tumbo hoi machela
Kata funua ki Ben Bella, bila mke wa kukera
Au wa kuomba kununuliwa dera kwa jealous
Kataa umasikini, utakula hata Serena
Acha magirini kama ya Chenge na Werema
Hata ukioa, kama fedha hujatoa
Bibie takuzodoa kwa ugali uliopoa
Kapera faida yake haulizwi alipolala
Arande ka dudumizi kwa spidi kama swala
Kivyakevyake kama Ras Pompidou
Mpaka atapoamua kusema basi masista du
Hahaha kapela
 
Ubachelor ni mzuri sana
Hasa kama unajua kutafuta hela?
Unakuwa busy hakuna wa kukuliza mbona hujanipigia simu, sjui msg
Ukitaka kugegeda ni kuweka thimu sikion tu
 
Ubachelor raha sana asikwambie mtuuu, acha KBS unafanya kila unalijisikia
 
Ndo mtuoe sasa tuwatayarishie madikodiko!!!

Yaani unafika home unakaribishwa kwa mabusu mlangoni!!! Unaenda kuoga unarudi na kutayarishiwa glass ya juice baridiii iliotengenezwa na wife... Unashushia juice huku chakula kinaandaliwa mezani...
 
Nipo Apa Najipigia Ugali Kilo 1 Dagaa Mchele Bamia Nyanya Chungu(Chungu Kweli Hadi Naanza Kuhisi Ni Ndula). Ukapera Hoyeeeeee!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom