tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 19,946
- 25,169
Maisha ya ukapera yanauma sana.Jioni hii nimepita maeneo Fulani hivi, mara tu ya kuja bongo chap.
Aisee nimeona makapera wenzangu wamekaa wanapata chochote cha usiku kwa hawa wamama wanaouza chakula hasa wakati huu wa mfungo.
Nimejionea huruma sn kapera mie pamoja na wenzangu.Kiukweli maisha ya hivi yanauma sana.
Mungu saidia tupate wake.