Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Hawa wote ni wagonjwa wa akili, wakitibiwa watamkimbia tu!Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa jk ni mpenda watu na maendeleo basi ona hawa watu wanavyomtumaini yeye.
Hawa wote ni wagonjwa wa akili, wakitibiwa watamkimbia tu!Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa jk ni mpenda watu na maendeleo basi ona hawa watu wanavyomtumaini yeye.
Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.
Hili ni kosa moja au kashfa moja? Una akili kweli wewe?Umesahau kuwa ni hulka ya binadamu kuwa tenda mema siku zote lakini baya moja litafuta mema yote uliyowahi kuyatenda. Na ni vigumu kuishi ili uwapendeze binadamu wote wanaokuzunguka.
Haya siyo maendeleo ni nini?
View attachment 216334Katibu mkuu wake asione pembe .....yuko Bize kujenga chama
si vyema kukejeli kila amachofanya rais. Yapo mazuri ameyafanya mengi tu
Hili ni kosa moja au kashfa moja? Una akili kweli wewe?
![]()
kabisa..
Labda kuna mengine mengi pia ambayo hatuyajui.
leo nitajie zuri moja alilofanya kikwete
Tatizo za kuambiwa anachanganya na za kwake.
Chadema ni fisi wanaotamani mfupa{rasilimali za nchi}
Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.
Hili ni kosa moja au kashfa moja? Una akili kweli wewe?
![]()
Wizi wa ESCROW account