Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.

Aisee haka kaukweli lakini katawapa watu machungu. Jitayarishe kutukanwa.
 
Ndio maana alitakiwa aunde serikali ya watu
Makini, waaminifu , wachapa kazi, wasiopenda rushwa,
Wazalendo, wenye uchungu wa maendeleo,wanao mthamini
yeye JK kama mkuu wao.

watu ambao wako hapo kumsaidia yeye asielimewe na haya yote.

sasa yeye amechagua mabua ndio maana yuko kwenye hali hii.

Depression na Stress nyingine kajitafutia mwenyewe.

what if kama hana akili au uwezo wa kuchagua watu bora?? yaani sio kuwa hapendi ila automatically hawezi
 
Masikini Kikwete...!
View attachment 216324
...Chama Chamfia Mikononi...need I say more?
1Bado gesi Mtwara, Simba trust na... duh! kaazi kweli kweli!​

2uingizwaji wa sukari toka nje na kutishia uhai wa viwanda vya sukari nchini

Asante mdau, na mimi nimekusaidia sentensi moja!

Kikwete ni dhaifu mno na tulifanya kosa kumpa nchi huyo msanii na genge lake la wezi na mafisadi.
 
siangalii picha ya watu 10 nakusema JK ni mpenda watu na maendeleo.

sioni maendeleo yeyote kwenye hiyo picha.

Salute mkuu,short and clear answer!Hawa Lumumba FC huwa wanachekesha sana,na ukijuwa huwa hawana la maana la kuchangia ni kuona wanavyojikakamua kujaza thread kwa majibu mepesi mepesi.Should we believe wanalipwa kwa number za post na sio katika umakini wa hicho wanachokipost? Ofcourse with exceptional ya masopakyindi lusungo na VUTA-NKUVUTE
 
Last edited by a moderator:
Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.
Hii post imebeba ujumbe mkubwa sana i wish JK aione na kuisoma.
 
what if kama hana akili au uwezo wa kuchagua watu bora?? yaani sio kuwa hapendi ila automatically hawezi

ndio maana Kila mkuu wa Nchi ana "Washauri"
Ni vigumu sana kuongoza kila kitu peke yako
ndio maana kuna watu wa kumsaidia.
 
tutachinja ng'ombe kila mtaa tutaleta na magunia ya mchele bia za kutosha na hata mbege na kiroba sio mbaya hi ni siku rais mpya kutoka ukawa atapo apishwa.
 
Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.

Mkuu hili linahitaji mjadala mpana hebu lianzishie thread,
 
  • Thanks
Reactions: WCM
Salute mkuu,short and clear answer!Hawa Lumumba FC huwa wanachekesha sana,na ukijuwa huwa hawana la maana la kuchangia ni kuona wanavyojikakamua kujaza thread kwa majibu mepesi mepesi.Should we believe wanalipwa kwa number za post na sio katika umakini wa hicho wanachokipost? Ofcourse with exceptional ya masopakyindi lusungo na VUTA-NKUVUTE

Am I exceptional? Lakini bado naona hata haya kuwa CCM. Asante lakini Mkuu

Mzee Tupatupa
 
Nyerere: Watanzania wanataka mageuzi wasipoyapata CCM watayatafuta kwingineko....
 
Huyu mtu ni Simiyu Yetu itakuwa ana mental disorder
Ukifuatilia post zake ni pumba tupu na ukimjibu ni kupoteza muda tu
Anadhalilisha watu Simiyu huyu kwa arguments zisizo na kichwa wala miguu
Watu wa Jukwaa la Afya mpeni ushauri huyu mtu case yake inazidi kuwa worse siku hafi siku
Wale wa jukwaa la magwiji wa Technical hebu tuoen IP adress yake na details nyingine tumfungie kazi
Kutwa anashinda akidandia thread za watu kwa kejeli hebu aanzishe zake kama kuna mtu atachangia
 
Last edited by a moderator:
Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.

hahaha mkuu umetishs.kama kuna mtu hajakuelewa basi chizi
 
Back
Top Bottom