Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Am I exceptional? Lakini bado naona hata haya kuwa CCM. Asante lakini Mkuu

Mzee Tupatupa

Mkuu nyie watu watatu ndio the best from CCM ktk ku argue kwa mtazamo wangu,waliobaki ni bora liende,huwa wanashindana kwa wingi wa post hapa JF,si ajabu ukakuta mtu anapost mfululizo kwenye thread moja,ukisoma sasa alichopost,even a kindergaten toddler can be the best!
 
Huyu mtu ni Simiyu Yetu itakuwa ana mental disorder
Ukifuatilia post zake ni pumba tupu na ukimjibu ni kupoteza muda tu
Anadhalilisha watu Simiyu huyu kwa arguments zisizo na kichwa wala miguu
Watu wa Jukwaa la Afya mpeni ushauri huyu mtu case yake inazidi kuwa worse siku hafi siku
Wale wa jukwaa la magwiji wa Technical hebu tuoen IP adress yake na details nyingine tumfungie kazi
Kutwa anashinda akidandia thread za watu kwa kejeli hebu aanzishe zake kama kuna mtu atachangia

Ukitaka ufungiwe fuatilia thread za Simiyu Yetu,yaani anatuaibisha WANAWAKE,yaani anaudhi kwelikweli.
 
Am I exceptional? Lakini bado naona hata haya kuwa CCM. Asante lakini Mkuu

Mzee Tupatupa

Endelea kubaki baki huko maana utatusaidia kuwaondoa wapuuzi wanaouza TAIFA letu kwa kisingizio cha UWEKEZAJI.Unatusaidia sana kutufanya WATANZANIA kujipanga nini tufanye baada ya ....
 
ndio maana Kila mkuu wa Nchi ana "Washauri"
Ni vigumu sana kuongoza kila kitu peke yako
ndio maana kuna watu wa kumsaidia.

Kwa hiyo wataka kutuambia huyu wa sasa kuna matatu:
1.Hana washauri wazuri.
2.Hashauriki.
3.Anategemea ushauri wa FIRST LADYna FIRST BOY
 
wabongo kwa kujitoa ufahamu......subiri Lowasa achukue nchi[MENTION]Simiyu Yetu[/MENTION]
 
Ushauri wangu kwa Simiyu yetu,Kuna vitu havibebeki,havifichiki Wala huwezi kuzima harufu ya uvundo wake kupaa angani.... Mfano ni hicho anachokifanya hapa,hatusemi kuwa JK hakuna Zuri alilofanya lah!tatizo mabaya yamefunika kila kona,Hembu cheki Hilo jedwali la mleta uzi hakuna sehemu alipomsingizia mheshimiwa,kama Rais wa Nchi Lazima ni zigo lake Hilo.
Nchi haieleweki kila kona watu wamechimba chimba ss miradi imesimama maana SERIKALI haina pesa,zipo wapi na wananchi hatujagoma kulipa kodi?
 
Salute mkuu,short and clear answer!Hawa Lumumba FC huwa wanachekesha sana,na ukijuwa huwa hawana la maana la kuchangia ni kuona wanavyojikakamua kujaza thread kwa majibu mepesi mepesi.Should we believe wanalipwa kwa number za post na sio katika umakini wa hicho wanachokipost? Ofcourse with exceptional ya masopakyindi lusungo na VUTA-NKUVUTE
Mkuu pamoja na yote mimi ni kada mzoefu nineyependa kuhoji mantiki ya kila tukio kisiasa, ili tupate uelewa wa kule tunakoelekea.
Bado Kikwete hata sahaulika kwa kuwa Rais aliyeweza kuruhusu na kuhimili mikiki ya demokrasia ya mtu kujieleza, na hii JF ni kielelezo tosha.
 
Kwa hiyo wataka kutuambia huyu wa sasa kuna matatu:
1.Hana washauri wazuri.
2.Hashauriki.
3.Anategemea ushauri wa FIRST LADYna FIRST BOY

kabisa..
Labda kuna mengine mengi pia ambayo hatuyajui.
 
Mag3 hutakiwi kumsikitikia kikwete... Anafaa sana kupongezwa maana hata Mwalimu aliwahi kusema kuwa CCM imeshakuwa Dudu kubwa sana kiasi kwamba ukiliua ghafla linaweza leta madhara makubwa kwa Taifa... Kikwete ametumia 10 years kuhakikisha kuwa kila Mwaka linapigwa mishale ya sumu ESCROW, EPA, UJANGILI nk... Sasa Hivi limedhoofika sana kiasi kwamba likiuawa nirahisi kuweka mabaki yake Kwenye Makumbosho ya Taifa kama kumbukumbu ya Mnyama Mkubwa aliewahi kutukinga mvua/jua kabla ya kugeuka Mzimu wa Kuwatafuna ndugu zetu.... Inna llillah wainna Illahi Raj'oon ...
Masikini Kikwete...!
View attachment 216324
...Chama Chamfia Mikononi...need I say more?
Bado gesi Mtwara, Simba trust na...duh! kaazi kweli kweli!
 
Wajinga wengi sana nchi hii umeacha kulala umeandika ujinga wako utadhani umefanya kazi ya maana mno.

Wewe mjinga lini utaacha kumdhalilisha mama yako na hili lipicha la kipumbavu. Huna jipya kila siku na hili lipicha.
 
Si vyema kukejeli kila amachofanya Rais. Yapo Mazuri ameyafanya mengi tu

Umesahau kuwa ni hulka ya binadamu kuwa tenda mema siku zote lakini baya moja litafuta mema yote uliyowahi kuyatenda. Na ni vigumu kuishi ili uwapendeze binadamu wote wanaokuzunguka.
 
Kwa hiyo wataka kutuambia huyu wa sasa kuna matatu:
1.Hana washauri wazuri.
2.Hashauriki.
3.Anategemea ushauri wa FIRST LADYna FIRST BOY

Tatizo za kuambiwa anachanganya na za kwake.
 
Wapiga kura wa CCM ni masikini wa mali na akili......Masikini na wendawazimu.

Hawa ndio wapiga kura wa CCM....Mtaji wa CCM

attachment.php
 
Back
Top Bottom