Huyu jamaa ni moja wapo ya majembe ya CCM.View attachment 216334Katibu mkuu wake asione pembe .....yuko Bize kujenga chama
wamepanua magoii ya ufaulu form four and form six
what if kama hana akili au uwezo wa kuchagua watu bora?? yaani sio kuwa hapendi ila automatically hawezi
Kuvuta bangi nadhani siyo jamno zuri haya ndiyo matokeo yake ya kuandika vitu vya ajabu kama mwana kapotea.
Hatuongozwi na kelele tunaongozwa na data! Kwa data za uchaguzi wa serikali za mitaa inaonekana dhahiri kuwa CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingi ijayo! So Chilax.
Ona walivyovalishwa khanga na T-sheti! Utawaambia nini? Maisha bora si ndo hayo???Jk atabaki kuwa kiongozi shupavu na mpenda maendeleo ukisema kuhusu jk watu kama hawa utawaambia nini.
View attachment 216327
ndio maana Kila mkuu wa Nchi ana "Washauri"
Ni vigumu sana kuongoza kila kitu peke yako
ndio maana kuna watu wa kumsaidia.
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji
Huyu jamaa ni moja wapo ya majembe ya CCM.
Namkubali sana Kinana, he walks the talk na hana cheap talk.