Elly B
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,194
- 906
As shocking as it may be, you may wonder when seeing CCM members dividing into groups, of which some (I predict many of ) will find a way to let it go....as I usually say...only in Tanzania!
But in my opinion, however, the diversion and theft of public funds has been so common that it is almost seem like legal and lawful. Na hii ni kwa sababu ya upuuzi wa serikali na udhaifu Unaochangiwa na wabunge, hasa wa CCM, kutokana na tabia ya kishetani ya kubebana wakati mawaziri au watendaji wa serikali wanapokosea na kutakiwa kutolewa maamuzi na Bunge. Na katika mkumbo huo Spika na Naibu wake wanaongoza treni hiyo ya ibilisi kwa kushindwa kulisimamia bunge, kuliongoza kujadili hoja zenye maslahi ya Taifa na kukwamisha kwa makusudi mijadala ya msingi.
Niseme tu kuwa Sijawahi kuona Serikali ya ovyo kama hii, inayoshindwa kujisimamia na kusimamia watendaji na watumishi wake. Na sijawahi kutegemea kuona viongozi dhaifu kama hawa, wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao, wazembe na wezi. Na sikutegemea kuona bunge dhaifu na lisilo na msimamo kama la JMT, ambapo Mbunge anaweza kusimama, bila haya na kumtetea mhalifu wa wazi eti kwa sababu tu ni mwana CCM! Na mwisho sijawahi kuona nchi yenye wananchi wa aina yake kama Tanzania. Watu waungwana, wapole na wavumilivu hata unapowalaza njaa, kuwapiga bila sababu na hata kuwaua kwa visingizio vya kijinga tu!
Kuna kipindi niliwahi kusema, na leo ntarudia tena. Kama nchi hii itakuja kuingia machafukoni, siyo sababu nyingine yoyote. Ni Kwa sababu ya Upuuzi wa CCM na serikali zake, kwa miaka yote waliyokuwa madarakani. Na tena ni kwa tamaa na uroho wa kung'ang'ania madaraka hata pale ambapo wanaona nchi imewashinda na wananchi hawawataki. And this is a shame!...
[kwa niliowakera mnisamehe bure, hasa kama nilichosema ni uongo. la sivyo, you can just....]