Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

Umetoroka kwenye mkesha wenu? Wenzako wanakutafuta hawa hapa rudi mkaendelee kubinuka.
View attachment 216331View attachment 216331[/QU


OTE]


....huku mlikesha wapi?
Rayc+Kikwete2.JPG
 
Unapozungumzia viongozi mashuhuri wenye mipango thabiti ya kimaendeleo jk yupo ndani ya,sasa ameanza kujenga daraja la kwenda zanzibar hilo dogo?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    9 KB · Views: 456
Haya siyo maendeleo ni nini?

Mkuu imeandika 'ITAKAVYOKUWA"
Kikwete amebakiza muda mfupi sana madarakani
Muda wa kujenga haya hana. Ni rais wa hii nchi kwa miaka
kumi yaani ameshindwa kumaliza hata bara bara tu kwa muda wa miaka kumi.
Na sasa njia hizo za mabasi ya haraka hapo Ubungo wamesimamisha
kazi ajili fedha zimeisha..

Hivi kwa akili yako ataweza kweli kumaliza kabla ya huu mwaka na bado kuna uchaguzi??

haya bana mi nikuache .
Endelea kumwamini na kumtetea kwani anahitaji watu kama wewe. kila lakheri.
 
Enzi ya mkoloni kuna makabila yalikuwa hayatoi ma province/district commissioners or uongozi wa aina fulani. Bali garden boys, cooks, butlers, udereva na the like. Prove me wrong.

Mkuu ur very correct
 
Uzi umevamiwa na panya road wa Lumumba B7FC,ona Simiyu yetu anapojibu kwa hasira utafikiri yeye ndio Kikwete....
 
Mtu kama wewe ni wa kupuuzwa jk ni mpenda watu na maendeleo basi ona hawa watu wanavyomtumaini yeye.

Naona na ww umekaa mbele ukimtumainia kwa buku saba zake. Atumainiae binadamu amelaaniwa weka tumaini lako kwa Mungu ndo mambo yote.
 
Back
Top Bottom