Masikini kaka huyu


Na kuzamisha mashine yako kwa mtu ambaye huna uhakika wa asilimia mia kuwa hajaathirika? Kitu ambacho huyo kijana amekwisha kukifanya sana?

Tunacheza na probalities mkuu....the devil is in the details.
 
Hakuna malaika dunia hii wote sisi ni wenye dhambi kwaio usimuamimi mtu kisa anaenda kanisani au mlikutana kanisani. Dah bonge la mistake alifanya lakini Mungu kamuepusha sasa chakufanya asepe tu hapo. Ata alale sebuleni atalala maisha yote? Hatari kukaa karibu na moto ataungua mwambie ajimuvuzishe tu tena faster.
 
kingine unajua mambo ya wanawake kuendeshwa na hisia .. ataanza kuhisi jamaa anachepuka akichelewa ugomvi, akikosolewa ugomvi kuishi naye yataka moyo hasa kama mume na mke... mi sielewi kwa nini atake ngono kwa nguvu
yah hilo ni kwel kabisa kuish na huyu dada kaka yako itabd awe mvumilivu sana kwanza kwa hulka za wadada pia kujiona yeye ni mgonjwa so lolote baya likitokea hata kwa bahati mbaya itachukulika tofaut, mi naamin huyu dada amekua kama hajaamin kilimchomkuta au anajiaminisha mumewe ni chanzo cha yote hayo so la msing wote wawe sawa ili awe na amana akisahau kua huyo mume wake atakuja kua msaada mkubwa pale hali itakapobadilka. dah kaka ana kaz kubwa sana coz ni lazma kuwe na win - lose situation
ila swala la kuvunja ndoa sa hvi sidhan kama litakua jambo la busara tusubir mpaka mtoto akizaliwa ila sasa je hataweza kumdhuru na mtoto pia yaan nakua na maswali meng kuliko majibu daah
 
duh mtoto sasa inakuwaje?
 
my dear kuna wanaume wanendeshwa na mwanamke ni tatizo kubwa sana.. rafiki yangu huyu bwana ni mpole kazidisha

Na ndio tatizo kubwa lilipo....

Huyu anahitaji msaada wa mwanaume katika kipindi hichi...mtu wake wa karibu ambae atampambanulia ukweli, uwongo na kumwonjesha njia yenye kutumia akili.
 
yah kweli kinachosubiriwa hapo ni kiumbe kilichopo tumboni japo anasafari ndefu miezi saba
 
duh mtoto sasa inakuwaje?

Haimaanishi kuwa atakua amemkataa au kumkimbia mtoto atapo sepa. Lkn atakua amejiepushia balaa hilo la mke wake kutaka kulala nae kilazima. Inaelekea analengo lake tu jamaa apate ili waishi wote kama waathirika mana anahisi jamaa atasepa tu no way out.
 
yah kweli kinachosubiriwa hapo ni kiumbe kilichopo tumboni japo anasafari ndefu miezi saba
yah ni ndefu na kwa akil za huyo dada kwa sasa anaweza kufanya chochote kibaya kwenye huo ujauzito ikawa ni go away ticket japokua sitegemei hayo yote
 
hapa nimekuelewa
 

Huyo kijana ana moyo wa kipekee, kulala sebuleni kwenyewe ni upendo tosha, ni changamoto ya aina yake kuishi na mtu mwenye VVU, atafanyaje wakati wanatarajia mtoto soon? Cha muhimu atulie na kumfariji mke wake kwenye kipindi hiki kigumu ili aokoe kiumbe aliyeko tumboni, vinginevyo atakosa mtoto na hawezi kujua kama atapata mwingine au lah, ila suala la kusex bila condom BIG NO, ila haishi nae tu kama kawaida, cha muhimu ni kupata ushauri wa daktari na kumuomba sana Mungu amuokoe, Ndoa nyingi sana sasa ivi zinaishi na huo ugonjwa, ukimwi ni janga la taifa
 
duh hatari sana
 

KWeli kabisa, aishi nae kama mke kawaida ila kusex bila condom NO, ni changamoto kubwa kuishi na muathirika, ila siku izi watu wanauelewa tofauti na zamani ulikuwa unatengwa na kunyoshewa vidole
 
Tyta kijana ana moyo wa uvumilivu hata kuendelea kuishi naye ila binti kawa mkorofi analazimisha penzi na kilio juu.. mimi naona huruma sana kwa kijana analalamika maisha yake kaingiza doa japo kijana naye kafanya uzembe kuoana bila kupima

Changamoto ndizo zinatufanya tuishi, hatupaswi kulaumu bali tumapaswa kuangalia jinsi ya kukabiliana na changamoto, tatizo limempata mkewe basi atulie wajue wanafanyaje anaweza kwenda, akaupatia uko, challenge sio kitu duniani cha muhimu UHAI, kuna watu wameoana ila mwanaume hasimamishi kabisaa, so tuzikubali changamoto uku tukimwomba mungu sana, hakuna kinachoshindikana kwake
 
Last edited by a moderator:
warumi sawa mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…