Masikini Edward Lowassa

Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n

Mbona kwenye fesibuku kuna mdau anasema ametinga kikatiti na lundo la magari yaliyojaa raia kutoka monduli, sasa unaposema amekosa watu katika mkutano wake nashindwa kukusoma.

Ama waliingia mitini baada ya kushuka kikatiti? unaweza kutupia picha ya mkutano?
 
View attachment 50526kilichotokea ni hiki mi niko huku hawa jamaa leo wametumia kila rasilimali kulipa bodaboda ili mradi ionekane kafunika watu toka arusha monduli na kata zingine jamani hao wa chini hawakufatwa walikuja wenyewe mbuguni tena wakazi wa mbuguni
jamani ccm kwishaa kaziii nilikuja arusha toka mwanza kwa kazi moja tu kuimaliza kupitia sanduku lakura hakuna kingine....ha ha ha lowasa ndo unamalizwa hivyooo
 
waungwana msisahau kutupa live akiwa jukwaani bila kumsahau nape.!
 
Mtu unapoleta uzi ambao unaitaji picha alafu hauna picha akina Tomaso kama sisi tutaaminije?
 
Lowasa ndo anatoka zomea zomea na V sign ya kutosha, tatizo la magamba wamemwandalia mkutano karibu na ngome ya CDM
 
waungwana msisahau kutupa live akiwa jukwaani bila kumsahau nape.!

Uchaguzi wa Arumeru...unaenda Kim cost Lowassa urais aiupate..........akishindwa itauharibia image ndani ya chama na atakuwa ameondoka rasmi kwenye mbio za urais...
 
picha kusaport jamani but kusema bila evidence inaweza kuwa uzushi tuuu!
 
Mkuu, Usinikumbushe miye mambo ya Enzi hizo!

Wakazidi kumchimba, Baba mwenye homakali
Baba yetu watufumba, Fumbo hili la akili
Akili yetu nyembamba, haijajua methali.


na kweli jf ni kisima cha great thinkers.mzee mzima nimerudi utotoni leo
baba asiye kifani,
akajibu lile swali,
ninakufa maskini,
baba yenu sina mali,
neno moja lishikeni,
nami nawapa kauli,
kama mnataka mali,
mtaipata shambani.
 
picha kusaport jamani but kusema bila evidence inaweza kuwa uzushi tuuu!

mkuu ninapicha za msafara wa lowasa ukizomewa na wakazi wa kikatiti hakika leo ccm imevuna aibu hapa arumeru...nitazirusha nikifika kwenye pc...wameru wasema hawataki mafisadi
 
Tuwekee picha acha unafiki. Habari nilizpnazo ni kwamba Lowasa amefunika vibaya sana.
 
mkuu ninapicha za msafara wa lowasa ukizomewa na wakazi wa kikatiti hakika leo ccm imevuna aibu hapa arumeru...nitazirusha nikifika kwenye pc...wameru wasema hawataki mafisadi
baadhi ya magamba yameanza kurudi dar.
 
kwanini hamweki picha ? kwanini mnataka kutulazimisha sisi watu wa dodoma ,dar, moro ,mtwara, bukoba na kwingineko kuwa mnayo ongea ni kweli wakati uwezo wa kuweka picha mnao na hamweki picha sasa kwanini tuwaamini? nataka mabadiliko hata kwancha ya upanga?
 
Aibu ya kujitakia utu-Uzimani!
Mwenye nchi mwenyewe Ba-Mwanaasha kagwaya...Kaja jana Arusha kwa kuingia Usiku, na saa 5 LEO kajiondokea zake kimya kimya kurudi Dar!...Watchdogs wake weshampa Live kuwa asithubutu kukanyaga Arumeru, maana washanusa hali halisi!...Yeye anajifanya shababi...Poooof!

Hivi kwa akili yako Lowassa anafanya kampeni za kukusanya watu? Lowassa ni master kaishamaliza kila kitu hapo Arumeru wewe huwezi kujua muulize baba Junior Dokta Slaa.
 
Edward Ngoyai Lowassa,amepata aibu ya kufungia Mwaka pamoja nguvu yote ilotumika kumuandalia mkutano jamaa kapata watu kiduchu kuliko hata mkutano wa AFP!!! Jamaa anatia huruma sana san!!!a n

Dogo unachekesha hivi wewe ni wakumuonea huruma Lowassa! haahahaa.
 
Back
Top Bottom