Mkuu inachekesha na kusikitisha sana..ha ha ha Dr alikuwa analindwa na usalam wa taifa kwenda kwenye hotel ya nyota tano.. leo nyumba yake inapigwa mnada..kweli kupanga ni kuchagua..sasa ushauri wa bure..mkae huko marekani msirudi..maana huku hamna chenu tena..
Kuna wanachama makini, wazalendo na wenye uchungu na taifa laoHivi huko chadema kuna wanachama wa aina gani?
Kama nimesikia vizuri mkopo sio wake ati ni wa MUSHUMBUZiHii siyo sawa kabisa Mzee mzima na juhudi zote za kuiokoa CCM Leo wanashindwa kumsaidia kulipa mkopa Bank...
Kasome thread tena, halafu inaonyesha shule ilikupiga chenga hivi neno masikini!! hapo limetumika kufurahia au kusilitishwa...Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?
Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?
Moral and Human principle is more than material gain!
Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...
Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!
Kwa hiyo umepatwa na furaha kwa sababu nyumba ya Dk. Slaa inapigwa mnada?
Furaha yote ni kwa sababu hakumsaidia fisadi Lowassa kuingia Ikulu?
Moral and Human principle is more than material gain!
Dhehebu lake linasema, heri wenye moyo safi...
Dk. Slaa aliamua kuwa na moyo safi!
Kama LowasaKuna wanachama makini, wazalendo na wenye uchungu na taifa lao