Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura
Hakuna kitu kama bajet mbadala. Kuna maoni ya kambi ya upnzani. Uko dhaifuMkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.
Kumbe ndio sababu. Kumbe hujaenda shule ndio maana mawazo yako ni duni kiasi hiki!!!!! Kweli CCM imetuangusha, miaka 50 ya uhuru bado adui ujinga anasumbua watu!!!! Afadhali umetujulisha hilo ili tusikulaumu bure. Watu kama wewe ndio mtaji wa CCM. Lakini wasomi na wajanja ni mwiba mkali kwa hao magamba. Pole sana ndugu yangu. Lakini zama za ujinga zinahesabika. Zitakoma siku Chadema itakapoingia madarakani.Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..

baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, cdm itakuwa imevunja rekodi ya kuwa chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe chama hewa!!... Bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.
Hapana mie sio great thinker mie mlala hoi hata shule sijaenda!! Lakini ndio mtoa kura
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA HEWA!!... bahati mbaya sana cdm kimeshindwa kukwepa hatima hii mbaya na mbovu..
inamaana cdm waliopiga kura ya hapana wanaogopa chama?tatizo la nchi hii ni chama cha mapinduzi si jingine...wabunge woote wa ccm wamepitisha hoja ya bajeti baada ya kuchimbwa mkwara..huu ndio udhaifu ambao mnyika amswatungia jina
Mkubali tu kuwa mnatoa too much foul hot air inayowaharibu ninyi wenyewe.
Wonderboy wenu Zitto pamoja na madigirii marefu ameshindwa hata mahali pa kuanzia kuandika bajeti mbadala.
Tulishasema CDM ni genge la wafanyabiashara wasiojua hata kulipa kodi na jinsi inavyokusanywa.
Mnakula kodi zetu za bure tu Bungeni.
Ujinga ni ugonjwa mbaya sana.