NawasubiriMajasusi wa bamia akina Yericko Nyerere ndio wamekutisha?
Huwa wanakua wapi pale Tanzania ndio mzalishaji pekee wa Tanzanite lakini kiwango kikubwa cha Tanzanite kipo nje ya Tanzania kwenye nchi isiyo na Tanzanite?
Ni maajabu hata pale Premier League tumeshindwa kuwa na label yetu ya "Visit Kilimanjaro" katika moja ya timu.
Leo kinchi kama Rwanda kimetuchapa fimbo katika ligi 3 kubwa ulaya wana lebo yao kwa Arsenal, PSG na Atletico de Madrid.
Majasusi wanajua kumsumbua Lissu na Heche na watu wanaolalamika mafuta kupanda ilhali Zambia inayopitisha mafuta hapo Mzizima wana bei ndogo.
Yes Dad AmenMimi ni mtumishi daughter ujue.. Na najaribu ni mtaji wa imani
Jasusi Mwitu anakuja na story za kubanza.Majasusi wa bamia akina Yericko Nyerere ndio wamekutisha?
Huwa wanakua wapi pale Tanzania ndio mzalishaji pekee wa Tanzanite lakini kiwango kikubwa cha Tanzanite kipo nje ya Tanzania kwenye nchi isiyo na Tanzanite?
Ni maajabu hata pale Premier League tumeshindwa kuwa na label yetu ya "Visit Kilimanjaro" katika moja ya timu.
Leo kinchi kama Rwanda kimetuchapa fimbo katika ligi 3 kubwa ulaya wana lebo yao kwa Arsenal, PSG na Atletico de Madrid.
Majasusi wanajua kumsumbua Lissu na Heche na watu wanaolalamika mafuta kupanda ilhali Zambia inayopitisha mafuta hapo Mzizima wana bei ndogo.
nimechoka mzee wanguKama mnataka mali mtaipata shambani😀
Hawa watu wapambane na mafisadi yanayonunua mikoba ya milioni 13 wakati kuna watoto tunaona picha wanakaa chini darasani na watu wanatumia maji sawa na mifugo yao katika chanzo kimoja.
Ninawasikitikia sana waliotoa pesa zao kununua zile toilet paper zake anazoziita vitabu.Jasusi Mwitu anakuja na story za kubanza.
Mtani kukichwa kutapambazuka... Mawio hayako mbaliHawa watu wapambane na mafisadi yanayonunua mikoba ya milioni 13 wakati kuna watoto tunaona picha wanakaa chini darasani na watu wanatumia maji sawa na mifugo yao katika chanzo kimoja.
Waache kutisha wakosoaji maana ukosoaji ni haki ya kikatiba inaangukia katika uhuru wa maoni.
Ataumbuka watu wakiamua kunyatia content za kitabu chake, nna uhakika hakuna alichoandika yeye kikafika 3% labda jina lake na Jina la kitabu tu.Ninawasikitikia sana waliotoa pesa zao kununua zile toilet paper zake anazoziita vitabu.
Magufuli alikuwepo leo hayupo , kuna kijana jana wamemtaja huko alikua kwenye kikosi cha utekaji enzi sasa baada ya jiwe kufa kikavunjiliwa mbali kijana amebaki kuwa mlevi wa kupitiliza na kujitenga na jamii baada ya jamii kumkataa , hawa watekaji mnaishi nao mitaani na wanajulikana hawatoki sayari ya Zuhura kuja kuteka watu kisha wakarudiMtani kukichwa kutapambazuka... Mawio hayako mbali
Ni kujipa umuhimu wasio kuwa nao kwa watu wasio wajua na kwa vitu wasivyo vijua .View attachment 3588359
Leo kichwa cha marehemu Temba kimepatikana.. Hilo jambo limeniumiza mno. Kwahiyo watapewa familia waweke msiba upya? Wakazike upya? Kwenye kaburi jipya?🙌🏿😭Magufuli alikuwepo leo hayupo , kuna kijana jana wamemtaja huko alikua kwenye kikosi cha utekaji enzi sasa baada ya jiwe kufa kikavunjiliwa mbali kijana amebaki kuwa mlevi wa kupitiliza na kujitenga na jamii baada ya jamii kumkataa , hawa watekaji mnaishi nao mitaani na wanajulikana hawatoki sayari ya Zuhura kuja kuteka watu kisha wakarudi
Watu wajifunze tawala zinabadilika ila matukio na jinao hazifutiki , amri haramu ni haramu tu haijalishi kaitoa nani.
1 Timothy 5:13
Proverbs 16:28bali pia wapiga porojo na wadadisi",💪🏿
Mbona kuna watu tayari walishatoa maoni yao juu ya wizi wake.Ataumbuka watu wakiamua kunyatia content za kitabu chake, nna uhakika hakuna alichoandika yeye kikafika 3% labda jina lake na Jina la kitabu tu.