Mashushushu wa JF

kabisa da mkubwa, sijui huo u "great thinker " upowapi, sema kwenye msafara wa mamba sikuzote kenge huwa hawakosi na kuna wengine tuna bahati ya kukutana na kenge kila kona alf mamba hawaonekani
kabisa da mkubwa, sijui huo u "great thinker " upowapi, sema kwenye msafara wa mamba sikuzote kenge huwa hawakosi na kuna wengine tuna bahati ya kukutana na kenge kila kona alf mamba hawaonekani
KimekurambaπŸ˜‚
 
Vimba mkuu.. waambie mtu mzima hatishiwi nyau 😎

Naomba kuuliza izo file ni kama za epstein au ?πŸ™ƒπŸ˜
 
Pole aisee, kati ya hao wawili wa hivyo kuna na kumi na na mia na maelfu tu watu wema kwa kila mtu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…