Mashuka meusi yanapunguzuka nguvu za kiume...ni chanzo cha ushoga
Tafiti zinasema kuwa mashuka meupe kwa wanaume ni dalili za ushoga aidha kwa mashuka meusi wengi ni watu wa fantasy...Mashuka meusi yanapunguzuka nguvu za kiume...ni chanzo cha ushoga
Weka hata taa ya purple .. whatever .. kesho tutaambiwa tulale na nguo za purple .. its endless .. what i believe tatizo ni psychological especially na ugumu wa maisha .. mpaka mtu ufikie kiwango flani cha satisfaction kwenye maisha .. then mambo yanajiseti yenyewe, mathalan .. huna hata hela ya mlo mmoja kwa siku .. ama unawategemezi wengi .. kazi yenyewe ya kubahatisha .. sincerely tell me can rangi ya shuka matter to you .. wengine hata kukumbuka kalalia rangi gani last night hakumbuki .. yeye anawaza maisha tu .. utulivu wa nafsi unachangia sana bila hivyo hata gunia waweza lalia ilimradi kuche
Mashuka meusi yanapunguza nguvu za kiume.....ni chanzo cha ushoga
jamani wanaume wenzangu mkianza kutumia mshuka ya zambarau mkiwa kama Boflo msije lalamika!akili mukichwa
Mc Tilly Chizenga acha majungu
sio majungu mwanaharakati Boflo!mi toka nizaliwe sijawahi sikia habari ya shuka la zambarau,taarifa yako nimeihisi kama ni mbinu zako za kiuanaharakati!teh teh teh!
Kaunga WanaJf wengi wana matatizo ya unyumba...Kesho ukienda Kariakoo utakuta mashuka ya zambarau yote yameisha