Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi waliyoyapitia

Mashujaa hawa ni;

1. Oscar Kambona
Huyu alikuwa mmoja wa wapigania uhuru wa Tanganyika na Waziri wa mwanzoni kabisa wa Mambo ya Nje wa Tanganyika/ Tanzania. Alikuwa kijana msomi wa sheria, aliyekuwa mtanashati kweli na mwenye haiba nzuri hakika.

Pia alikuwa rafiki mkubwa sana wa Nyerere na inaelezwa kuwa kwenye harusi yake , Nyerere pia alikuwa kama mmoja wa wasimamizi. Walipendana na Nyerere na walishibana sana.

Baada ya kumaliza masomo alirudi Tanzania na kuwa mmoja wa mawaziri wa kwanza wa serikali ya Tanganyika. Alipendwa sana na watanganyika kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na uelewa wake mkubwa wa mambo.

Mwaka 1967 , Tanu waliamua kufuata mrengo wa kisoshalisti katika kuendesha nchi na waliamua kuanzisha azimio la Arusha. Kama kijana mwenye exposure, alimpinga waziwazi Mwl Nyerere juu ya huu mrengo mpya kwenye vikao vya Chama na hoja yake kuu ilikuwa kuwa mfumo wa kijamaa haukuwa njia sahihi kwa ajili ya Maendeleo ya Tanzania na mtanzania.

Kambona aligombana na Nyerere kwa msimamo wake huo jambo lililopelekea aondoke nchin Tanzania na kwenda kuishi uhamishoni nchini Uingereza. TANU na baadae CCM kwa kutumia propaganda walimbrand Kambona kwa majina mabaya kuwa ni shoga na ameolewa Ulaya lakini miaka ya mwisho ya utawala wa Nyerere hoja zake zilikuja kuonekana kuwa zilikuwa sahihi kuliko za Mwl Nyerere.

Tanzania ilianguka vibaya sana kiuchumi katika awamu ya mwisho ya Nyerere jambo lililopelekea hadi wananchi kupanga foleni barabarani kununua bidhaa kama sabuni , Chumvi na sukari. Hoja za Kambona za mwaka 1967 zilikuja kuwa kweli miaka ya 1980 jambo lililopelekea Nyerere kuamua kuacha madaraka na kumuachia Mwinyi ambaye alikuja kuuondoa mfumo wa ujamaa na kuleta ruksa kwa wananchi kufanya biashara na kutotegemea serikali

Oscar Kambona ni shujaa ambaye lazima Tanzania tuje tumkumbuke siku moja

2. Tundu Antiphas Lissu

Huyu wengi wa kizazi cha leo na sasa mnamfahamu , ni mwanasiasa machachari sana, wenye akili sana na upeo wa kiwango cha juu sana katika kufikiri na kupembua mambo, ni mwanasheria nguli pia mwenye ujuzi mkubwa kwenye masuala ya Sheria.

Tofauti na Kambona Tundu Lissu pamoja na kuamini katika mfumo huru wa soko huru katika kuendesha uchumi ( ubepari) yeye ni muumini mkubwa sana wa utawala wa sheria na katiba iliyo Bora. Kwa miaka mingi amekuwa akipigania Tanzania kuwa na katiba ilivyo bora inayoweka mipaka kwa watawala na kuwawajibisha vyema pale wanapokosea. Mwaka huu alikuja kugombea uraisi na aliweza kuwagusa watanzania wengi kwa sera zake hizo ambazo CCM walizipinga. Utetezi wake wa haki na utawala was sheria zilizo bora ulipelekea hadi apigwe risasi 16 kwenye jaribio la kumuua ila hajakata tamaa.

Tundu Lissu akiwa bado yuko hai, tayari watanzania wengi wanakubaliana na yeye kuwa kuna haja kubwa ya kupata katiba mpya, katiba ya wananchi itakayopunguza madaraka na mamlaka kwa kiongozi mkuu wa nchi na itakayojenga taasisi imara zinazowajibika kwa wananchi na wala sio watawala.

Kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu kwa watanzania huku bei za vitu zikipanda na watu kukosa ajira kutokana na sera mbovu za walio madarakani, Lissu anazidi kuonekana kama mkombozi sahihi wa Watanzania.

3. Maalim Seif Sharif Hamad
Mzanzibari pekee baada ya mzee Karume aliyesimama kumwambia nyerere kuwa hivi siyo sawa.

Zanzibar haiwezi kuwa mkoa kamwe na itabaki kuwa ni Taifa moja ya yale mawili yaliyounda Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pale Mzee Jmbe alipounganisha ASP na TANU kuunda CCM wazanzibari wengi walibaki na donge rohoni mwao na kutarajia kutokea mkombozi wa nchi yao atakayeweza kupambana na Nyerere asijeunganisha na serikali kuifanya iwe moja.

Mwaka 1984 Mwalimu alimtaka Jumbe apige hatua ya pili kuimaliza SMZ ili kuleta serikali moja, hapo Viongozi wa Zanzibar wakiongozwa na Maalim Seif walimkomalia Jumbe na kumwambia Basi Yatosha, Umetuulia ASP yetu sasa Unataka Kumaliza SMZ.

Ameshiriki katika chaguzi za kidemokrasia kuanzia 1995 hadi 2020 bila ya mafanikio kuingia ikulu ya Zanzibar. Ukweli ni kuwa anashinda lakini matokeo yanapinduliwa. Na yeye ameendelea kugombea bila ya kukata tamaa, pamoja na kuwa alikuwa akipambana na vikwazo vya kila aina ili kumzui asigombee uraisi.Msimamo wake ni kuwa

1. Zanzibar yenye mamlaka kamili inayojiendesha kiuchumi na kutambuliwa kimataifa inawezekana na kwa manufaa mapana ya Zanzibar.

2. Tanganyika imeshindwa kuwaletea maendeleo ya kweli waTanganyika wenzao kwa miaka yote 60 ya uuru wao, hawatoweza kamwe kuisaidia Zanzibar kujikwamua kiuchumi ,na kwa maana hiyo Muungano uliobora ni Shirikisho na siyo Total Union.

3. Zanzibar iana Advantage ya Population ndogo na rasilimali kubwa ya Bahari na Mafuta na gesi.Endapo tutawekeza kwenye secta hizi basi uchumi wetu utapaa na tutakuwa Taifa tajiri kama Qatar, na tutaweza hata kuwapa Msaada wa kiuchumi Tanganyika ili kujikwamua na umasikini wake huko mbele kwa kuwa sisi ni ndugu wa damu.

Ni lazima kuna siku Watanzania tutakuja kuweka sanamu ya Tundu Antiphas Lissu kwa ajiri ya kumkumbuka!
Eeeenh heee.

Kuna mengi ya kujibu juu ya hawa wawili, namba moja na namba tatu. Umeremba sana na kuweka chumvi nyingi.
 
IMG_1260.jpg
 
Mkuu..umesema kweli tupu.

Kila nikiirudia ile video aliyovimbiana na polisi pale Nyamongo akiwaambia wakitaka wampige mabomu au wampige risasi lakini pale HAONDOKI.

Nasema huyu ndie haswaa kiboko ya Meko na ma ccm.

Bila kuwepo Hashimu Rungwe hii orodha ni batili! Ahahahahahahahahah!!!
 
Naungana nawe 100%. Nadhani tunapaswa kuwaongeza na wengine wanaoendelea kupiga kelele za HAKI, UHURU, USAWA Mbele ya sheria, mathalan -Freeman Aikaeli Mbowe, Mwanzilishi wa Jamii Forums Tanzania -Maxence Melo, Maria Sarungi, Hellen Kijo Bisimba, Fatma Karume, ongezea na wengine
 
Chanagmoto, China ni wa jamaa na wameendelea, zipo Nchi nyingi sana zinafuata mfumo wa ubepari hali i ni mbaya, zipo Nchi zinaongozwa kiimla, kifalme kama EMIRATE, Libya nk zilifanya vizuri sana.

Kwa hiyo usi copy na ku paste.Nikiulizwa kaacha alama gani za wazi tundu lisu hazipo na wala hazionekani. Nitakumbuka matusi , ukosoaji usio na staha, kuzuia misaada kwa Nchi , kupinga kila kitu bila kutoa mbadala.
Taja tusi moja tu toka kwa T.A.M. Lissu,vinginevyo wewe ni bwabwa.
 
Chumvi ni ipi ndugu?? Embu dadavua
Hehehehe: hebu nikuombe tu mkuu wangu 'Lord' utuwekee tu baadhi ya maandishi au hotuba ya hao mashujaa ili nasi tujilidhishe kuhusu misimamo yao uliyoisifia sana.

Hasa ya huyo uliyeanza naye.

Huyo Maalim wengi wetu tunajua alivyo na tunaweza kuwa na misimamo tofauti na wako juu yake kwa mambo tunayofahamu anayasimamia.
 
John pombe magufuri (JPM) Chuma , Jiwe huyu mwamba hatokaa asahaulike karne na karne.
Hatosahaulika kwa kuua uchumi wa Tanzania

. Mafuta ya kula Bei juu
. Masoko ya mazao hayaeleweki
. Cement kizungumkuti
. Makampuni yanafirisika na kufunga biashara mf. Quality Group, Rhino Cement, Habari Corporations na mengineyo mengi
 
Back
Top Bottom