Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

Chanagmoto, China ni wajamaa na wameendelea, zipo Nchi nyingi sana zinafuata mfumo wa ubepari hali i ni mbaya, zipo Nchi zinaongozwa kiimla, kifalme kama EMIRATE, Libya nk zilifanya vizuri sana.

Kwa hiyo usi copy na ku paste. Nikiulizwa kaacha alama gani za wazi Tundu Lissu hazipo na wala hazionekani. Nitakumbuka matusi , ukosoaji usio na staha, kuzuia misaada kwa Nchi , kupinga kila kitu bila kutoa mbadala.
Tundu lisu kazuiaje misaada wakati sisi ni matajiri na ni donor country?
 
Kwa nini unamuita Oscar Kambona shujaa?!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi waliyoyapitia
 
Nani kakwambia China ni wajamaa??? Rudi kwenye vitabu vyako kajifunze tena??? Hujui hata kuwa makampuni mengi ya kibepari yamewekeza China miaka na miaka?? Hujui makampuni makubwa kama Standard Chartered , Apple, Scania, Mc Donald’s yote for years mitaji yao mikubwa ipo China???

Fuatilia tena historia ya China na uchumi wake ulivyo ndo uje kuongea humu
Lumumba wanajua hayo? Wao Kila kitu wamekariri
 
Back
Top Bottom