Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

Hongera sana mtoa mada kwa upeo mkubwa kiasi hiki. Haya ndio mabandiko sasa.
 
Mkuu..umesema kweli tupu.

Kila nikiirudia ile video aliyovimbiana na polisi pale Nyamongo akiwaambia wakitaka wampige mabomu au wampige risasi lakini pale HAONDOKI.

Nasema huyu ndie haswaa kiboko ya Meko na CCM.
Yn mpaka Sasa cjui Kama yupo atakae tokea mwengine kumzidi lisu
 
Nimesoma kwa kambona nimeelewa sana Ila huo utopolo mwingine ulo weka hata cjasoma
 
Back
Top Bottom