Mashtaka ya nini wakati umetoa ushirikiano mzuri tu?

Tongue blister

JF-Expert Member
Jun 19, 2009
362
11
Leo naona wana jf wengi weshajiandaa kwa wk japo siku baaaaado kabisa !!!! wazee wa Jackie D, Captain M, Konyagi, Damu ya Mungu, TBL wazee wa mujini bila kusahau wale wa uwanja wa fisi na wapenda supu za pweza weshaanza ulizana wapi pakwenda kufanya mashambulizi. Lakini yote hayo msijisahau sana kwani zipo Kesi nyingi mahakamani ndani na nje ya nchi yetu zihusuzo tabia mbaya ya baadhi ya wanaume wenye kubaka wake zao au wapenzi wao.

Napinga tabia hii ya ubakaji kwani ni udhalilishaji na uvunjaji wa haki za binadamu kwa wanawake.

Ila baadhi ya dada zetu wanaitumia sheria hii ya miaka miwili ya kifungo na faini isiyo chini ya shilingi za kitanzania 10,000,000 kama mtaji katika kuwarubuni baadhi ya wanaume.

Kisa ambacho kimenivuta leo kinafanana na kisa lilichomtokea jamaa mmoja miaka 3 iliyopita. Kutokana na maelezo ya jamaa huyo ni kwamba mpenziwe aliamua kumshtaki ili aweze kupata hiyo fedha ( 10milion) kama faini ili aweze kufanya biashara zake.

Jamaa ktk maelezo yake anadai wakati wanafanya tendo la ndoa kwa siku hiyo iliyompeleka mahakamani kisha kifungoni na faini juu, mpenziwe huyo alikuwa shujaa kweli kweli katika kukata kiuno na kumkumbalia kimahaba, na si hilo tu bali hata kabla ya hapo binti aliweza kuonyesha umahili wake mkubwa katika kunyonya koni vizuri.
Sasa mimi nauliza kama kweli huyu dada alikuwa anakata kiuno na aliweza kunyonya koni siku hiyo kwanini aliamua kwenda mshtaki mpenziwe?

Hivi kweli mtu unabakwa kisha unakata kiuno na kumkumbatia mtu kimahaba ili asikuachie kisha una kwenda kum shtaki mahakamani ? Kweli huu ni uugwana jamani ? nauliza dada zangu wenye tabia hizo... Kweli huu ni uungwana, eti kisa shilingi milioni 10 tu una mfunga mpenzio , Nauliza jamani..HUU NI UUGWANA ?.
 
duh.....mbona heading kwanza inatisha! hebu tumia maneno mepesi kidogo mkuu.

nafikiri kwa mfano ulotoa, ingelikuwa maneno ya huyo mwanamme ni kweli tupu, basi asingelikutwa na mashtaka ( au mie tu sijafahamu hiyo kesi yenyewe?)
 
Jamani TB umejuaje yote haya?
 
duh.....mbona heading kwanza inatisha! hebu tumia maneno mepesi kidogo mkuu.

nafikiri kwa mfano ulotoa, ingelikuwa maneno ya huyo mwanamme ni kweli tupu, basi asingelikutwa na mashtaka ( au mie tu sijafahamu hiyo kesi yenyewe?)

Mkuu mbona kukata kiuno ni jambo la kawaida waweza kukata kiuno hawa wakati wa kudansi ? Au kunyonya si hata watoto waweza kunyonya maziwa tu ,A u mzee waogopa neno Mashtaka?
 
Unaweza kuta huyo binti kafanya under 'duress' au influence of some chemical substance. Zaidi ya yote kama hakuna ridhaa yake then huko ni kubaka.
 
MHH! LUGHA KALI MNO! OMBA MODS WAINYOOSHE KIDOGO MAANA maudhui na kichwa cha habari mhhh sijui lakini....
 
Njaa baba,inaleta mawazo lukuki kwa mtu.
Ila hapa demu alichemsha na kulipika kabisaaaaaaaa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom