Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kama ulikuwa kichwani mwangu. Hizi sheria za kinga wanazojiwekea zinakuwa na nguvu kutegemea nani yuko madarakani.Hakuna aliye juu ya Sheria. Hata SSH ajiandaye siku nikiwa rais nitafuta kinga nakumpeleka mahakamani
Mazoea ni mabaya sana.Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kama Ni hivyo tunasubiri waziri Fulani aliyejipa madaraka ya kuingia mikataba ya kugenisha raslimali zetu naye akitoka madarakani anayemlinda tunamburuza kortini tuweke kumbu kumbu sawa ili mzani ubalance, jino kea jino, upanga kwa upangaHaya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
let's watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Wajuu wepi? Je wajua kuwa katiba ya 1977 inamkunga Rais asishitakiwe?Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
lets watch and see.
kwaherini kwa leo
WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Halafu unakufa huku umevimbisha mbichwa m'bayaaaaaaaHivi Marehemu hastakiwi? Ni muhimu hata kama amekufa, ahukumiwe ili kumsaidia Mungu kazi! Unafanya unyama, unapoteza watu wasiohatia n.k halafu unakufa haraka!!
Kesi ifunguliwe ili haki itendeke kwa kuanzia na mwendazake!
Afadhali kama na wewe umeacha kuwaimbia mapambio ya kuwa chochea wafanye chochote watakalo liwe BAYA au zuri, acha wafungwe kabisa au na wewe ni mshirika wao🤔.Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
lets watch and see.
kwaherini kwa leo
#WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Babangu ana Bichwa bayaaaaaa ka shetani lakini hajawahi kuua mtu, kumsingizia mtu, kupora pesa na mali ya mtu, hajawahi kuteka wala kupoteza mtu.Kama wa baba ako
Hata na wewe jingalao umeanza kuwageuka wenzio?Haya ni maono tu.
Leo hii tunashuhudia mashtaka na vifungo dhidi ya watawala ngazi ya mikoa na Wilaya.
Huu ni ufunguo wa mashtaka na vifungo dhidi ya viongozi ngazi ya juu.
lets watch and see.
kwaherini kwa leo
#WAPOLOO A.K.A WAHUNI
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Zambia wanatuonyesha mfano mzuri sana, hata Wamalawi, SA, Ghana,etc.Nitakuwa mtu wa kwanza kumshtaki January Makambo