sijakuelewa Mkuu rombo!aiseee babayangu c u f mnahusika hapa
sijakuelewa Mkuu rombo!
angekuwa na watoto wa kiume angeshadadia?au anafuata imani za chama chake
Kikwete akimjibu hivyo Obama nahama nchi.!!!
Google " obama clashes with African host about gay marriage" fox news,cnn kila news organization ime report .watu wanashida ya maji safi umeme madawa , hawana Muda na mambo ya gaysource?