Mashoga watambuliwe nje ya Amerika - Obama

Mashoga watambuliwe nje ya Amerika - Obama

Kibaridi, mbona unaniangusha mkuu wangu? Hii mipasho ungewaachia watu wa taarab.

Obama hajaagiza, ila ametoa maoni yake and infact ameenda mbele zaidi na kufafanua kuwa hili halikuongelewa kwenye mazungumzo yao ya faragha! Sasa wewe sijui umenunua wapi hilo dish lako - linakupa habari unazotaka.

NB: Obama angekuwa anatembelea kwenye kwenye hii safari yake, I am sure usingeleta hii mipasho!

Mkuu Nilidhani Jf ni mjeledi. Siamini yaani lazima maprofessa au waswahili wa pemba ndo wana umakini wa kujadili topic hii. dah! basi mimi ninaonesha tu inayozungumzwa kwenye vyombo vya habari kote ulimwenguni tena nawapasha bali situngi chochote. basi naedit hapo kwa udini...

hili ni wazo lengu na halilengi yeyote..Political discussions naonelea must not have sentimental attachement na najua nina load ya watu wengi wana vendetta against me at a personal level sababu mengi ya maoni yangu hayana sentimental value na inanikera sana binafsi, but i can assure you mkuu I am open to engage in ideological vendetta. ninapenda vile Crucial Man anavyo take a swipe at me in the name of ideological differences at times na hii haimaanishi kuna uadui wowote kati yangu mimi naye...if there is anything wrong nitarekebisha..

Swali lingine ni how open is JF?, ikiwa itakubali kusensor mambo mengine. be rest assured I am not against Obama, on the contrary i admire Obama. hii mipasho si ya kuchafua jina lake. Jiulize how long has Obama ruled, and how many times have i taken a swipe at Obama. lakini kuna watu wanjukumu ya kumkosoa Obama kila siku I am not one of those..
 
FJM, I have done the changes that are neccessary
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
As long as 60% za budget zenu zinategemea kina Obama na Cameron basi soon or later mtakubali tuu,na jinsi mnavyo sign mikataba ya kugawa bure raslimali zenu kwa kasi ya kimbunga sitashangaa siku moja budget tegemezi itakuwa 100%,mtapiga kelele lakini kumbukeni anayekata check ndio anaamua nini kifanyike wengine wote mburula!!
 
Hawa jamaa wameshahalalisha uovu wa aina nyingi sana,wasiwasi wangu ni kwamba wasijemaliza la mashoga wakaja na haki za kutambulika kwa wezi....c kila mwanadam ana haki ya kufanya anachojiskia kufanya? Basi hata wao wanapashwa kuitambua haki ya magaidi ya kuwapiga
 
Dini zote kubwa zinakataza ushoga usenge na ubasha .mbali ya dini tamaduni za assili na mila pia zunakataza.
Lakini mataifa ya magharibi yameingiliwa wanataka kufuta kabisa dini duniani ndio kila uchafu unaokatazwa wao wameuhalalisha
Wamefanikiwa kulifunga kanisa katoliki ndani ya vatican ili lisi sumbue umagharibi
Zamani ukrusto ulutawala ulaya
Tukuja suala la ushiga na usenge na Obama
Obama amekuaa mtetezi mkubwa wa mashoga na ------- na wasagaji na nndoa zao
Bush na umafia wake aliweka wazi kupinga jambo huli kwa kusema ndoa itabaki kuwa ni kati ya mme na mke na ndio wanaoleta kizazi ili taifa liendee kuwepo
Ndoa za ushoga sio ndoa na litaliangamiza taifa la marekani kwani ------- hawazai
Ni aibu kwa rais mwenye asili ya Afrika kuunga mkono haya inawezekana anapenda masifa

Wala hastahiki ocean road kupewa jina la mtu anaemuudhi Mungu laana na sisi itatupata
Hii barabara ikiitwa obama basi igeuzwe jina iitwe shoga road
Si tunampenda? Basi tumpende kwa yote
 
Hah hah Kabariidi hata bila Obama ushoga upo,hata kijana wenu hapo Capital Radio kajitangaza,
hapa tz tunapenda zaidi 'kujionyesha' lakini tunasahau kuwa kuna uhalisia wetu ambapo ukilinganisha na majirani zetu wao wanakuwa wazi kwa mambo mengi.
Hakuna mtu angependa mtoto wake awe shoga lakini kuna watu ambao ni mashoga na wana watoto. Taratibu tutaendelea kujijua zaidi na hapo ndio tutajua kuwa hawa watu sio wanaotuletea ushoga bali tunao hata kabla ya wao kuja. Chukulia mfano wa walivyotuletea demokrasia na tukasema hiyo kwetu haiwezekani lakini leo ni wazi kuwa huwezi kumpata kiongozi kwa mfumo wa 'ni mwenzetu' badala ya sanduku la kura!
 
]Dini zote kubwa zinakataza ushoga usenge na ubasha .mbali ya dini tamaduni za assili na mila pia zunakataza.[/COLOR]
Lakini mataifa ya magharibi yameingiliwa wanataka kufuta kabisa dini duniani ndio kila uchafu unaokatazwa wao wameuhalalisha
Hivi ukigundua kuwa miongoni wa jamaa zako wa karibu mmojawapo anavuta bangi unafanyaje!? ...maana tunajua bangi ni kitu kibaya.
Ukikuta jamaa au ndugu wa karibu ni prostitute unafanyaje!?
Ni kama ilivyo kwa ugonjwa (mfano malaria) ukishagundua unao unatibu kwanza alafu ukifanikiwa kupona kama haujakuua basi unajaribukuishi kwenye mazingira yatakayokusaidia usiupata mfano kulala ndani ya neti na kufukia mashimo karibu na makazi.
Wataalamu wa ushoga wanasema ni kama maradhi na waathirika hawatakiwi kubaguliwa au kuchukiwa bali kuwa karibu nao na kuwashauri (counseling) ambao mara nyingi huwa wanarudia maisha ya kawaida na kuwa wajenzi wazuri tu wa nchi. Na hilo ndilo linakuwa changamoto kubwa kwetu!!!!
Obama mwenyewe na familia yake ni wauumini wazuri wa dini hiyo ikiwa at individual/family level but when it comes to community level the issue of diversity comes in and have to respect other peoples' view!
 
Dini zote kubwa zinakataza ushoga usenge na ubasha .mbali ya dini tamaduni za assili na mila pia zunakataza.
Lakini mataifa ya magharibi yameingiliwa wanataka kufuta kabisa dini duniani ndio kila uchafu unaokatazwa wao wameuhalalisha
Wamefanikiwa kulifunga kanisa katoliki ndani ya vatican ili lisi sumbue umagharibi
Zamani ukrusto ulutawala ulaya
Tukuja suala la ushiga na usenge na Obama
Obama amekuaa mtetezi mkubwa wa mashoga na ------- na wasagaji na nndoa zao
Bush na umafia wake aliweka wazi kupinga jambo huli kwa kusema ndoa itabaki kuwa ni kati ya mme na mke na ndio wanaoleta kizazi ili taifa liendee kuwepo
Ndoa za ushoga sio ndoa na litaliangamiza taifa la marekani kwani ------- hawazai
Ni aibu kwa rais mwenye asili ya Afrika kuunga mkono haya inawezekana anapenda masifa

Wala hastahiki ocean road kupewa jina la mtu anaemuudhi Mungu laana na sisi itatupata
Hii barabara ikiitwa obama basi igeuzwe jina iitwe shoga road
Si tunampenda? Basi tumpende kwa yote
Babu hiyo dini yenyewe unajifanya unaijuaaa kuliko waliokuletea,nina uhakika leo ukiletewa dini za babu zako zilizopigwa vita na mkoloni utasema ni ushetani,na mkoloni angekuambia miaka ile ushoga ni bora leo ungekuwa unaimba unasifia ushoga,nyie watu bado sana!!!
 
Tuachieni starehe zetu na mashoga wetu. Wacheni kumaindi mambo yasiyowahusu.
 
A gay Muslim cleric in South Africa, one of the few openly gay imams in the world, says it’s important to be open about your sexuality in order to have an “authentic” life.

SouthAfrica: Gay imam spreads message of empowerment when it ...




Mgalatia MaxShimba, Uislaam uko very clear katika mambo ya kipuuzi na kipumbavu. Na fahamu tu kuwa kuna sifa za kuwa imamu kabla hujawa imamu. Ndio maana hakuna imamu mwanamke !
Hayo unayo yaweka hayamo katika Uislaam na mafundisho yake na haiwi mtu Imamu na akafanya hayo. Angalia daraja ya 'uimamu' katika Uislaam !

"Na tukampa Is'haq na Yakuub kuwa ni ziada. Na wote tukawajalia wawe watu wema.

Na tukawafanya 'maimamu' wakiongoza watu kwa amri yetu. Na tukawafunulia watende kheri na washike sala na watoe zaka, na walikuwa wanatuabudu Sisi tu !

Na (Nabii) Lut'i tulimpa hukumu na ilmu na tukamuokoa na ule mji (Sodoma na Gomora) uliokuwa ukifanya maovu. Hakika hao watu walikuwa wabaya, wachafu.
Q:21:72-74.
 
Hawa jamaa wameshahalalisha uovu wa aina nyingi sana,wasiwasi wangu ni kwamba wasijemaliza la mashoga wakaja na haki za kutambulika kwa wezi....c kila mwanadam ana haki ya kufanya anachojiskia kufanya? Basi hata wao wanapashwa kuitambua haki ya magaidi ya kuwapiga

Mara 100 ya wezi kuliko hao.... ! Hapo kwenye red umesema vyema!
 
Obama amesema hukumu ya mapenzi ya jinsia moja ni ushindi kwa demokrasia ya Marekani, inabidi itambuliwe hata nje ya mipaka ya Marekani.

My take:
Mgeni wetu ndio keshasema hayo, mawazo yenu ni nini na hasa wale Waribelali!?

Nawakilisha

Kwa taaluma yangu ya sayansi ningependa kusema yafuatayo:
1. si kila mwenye tabia za kishoga alipenda kuwa hivyo.
2.Wazazi na ndugu wanamchango mkubwa sana ktk hili suala la ushoga.
3.shule nazo zinamchango wake ktk hili.

ushauri: Tupige vita na tupambane na hao ambao si mashoga kwa kuzaliwa bali wanaofanya hivyo kwa ulimbukeni wao na wanaotaka kujifanya wanaharakati uchwara.

Angalizo:
kila Baba/ Mama ni muathirika mtarajiwa ktk hili, maana anaweza kuzaa mtoto ambaye ni shoga sasa sijui ikitokea kwako utamuua? Ikumbukwe , watu wa namna hii walikuwepo karne zote tangu Musa.

Mwisho: Ni kweli hawa watu ukiwaona unaweza kupata ghadhabu kwa kufikiri kama wanajifanyisha ila si kweli. Jaribu kutafuta siku uzungumze nao nawe utayajua mengi na utaacha kuwatupia lawama. Mtaa niliokuwa nakaa alikuwepo mmoja mwanafunzi ila aliacha shule nilikuwa na licha yake bahati mbaya nilishaifuta kwenye simu yangu. mara ya kwanza nilipomuona nilijisikia vibaya karibu nimuite shoga kwa sauti ila namshukuru Mwenyezi nilijizuia kufanya hivyo nikatafuta faragha nikazungumza naye na tangu wakati huo nilikuwa namuita kwa Jina lake(sitaliweka maana kuna wengine hapa mtahamishia mawazo yenu kiimani).Ana vaa nguo kama binti, kitana kichwani , sauti ndio usiseme. Duh, inahitaji moyo hata kuwa naye karibu maana kama hisia zako zipo karibu hatari.(Ndio maana usishangae kusikia wanaume hovyo wanawatafuta kwa udi na uvumba).

Omba mwenyezi usipate mtoto wa Aina hiyo maana ndugu zako wanaweza kukukaanga!!

"Ushoga ni mbaya sana na hakuna anayependa kuzaliwa shoga" by Muathirika

Tupige vita tabia za kishoga na wale wanaotaka kuhalalisha hilo japo si waathirika!! Ushoga HAUKUBALIKI DUNIANI NA HATA MBINGUNI!!
 
Hah hah Kabariidi hata bila Obama ushoga upo,hata kijana wenu hapo Capital Radio kajitangaza,
anaitwa Maina Kingangi...pale clouds radio/tv kuna mmoja ambae anafahamika vzur.lets hope one day he will come out too.lol
 
mkuu kibaridi .swala la ushoga lilikuepo hata kabla ya obama kuwa rais..na litazidi kuepo baada ya obama kuondoka, mimi kwa upande wangu nasemawaacheni wafu wazikane wenyewe.
wapo wengi tu wana practice ushoga kificho..juzi juzi hapa tumeshuhudia kenya mashoga wakiandamana kuhusu haki zao...siku za nyuma CJ kenya aliwai tuhumiwa kwamba ni member wa gay/lesbian association of Kenya..who knows the truth hope only him
kwa hiyo mimi ninachosema hapa ni kwamba ushoga kwangu big noo...lakini anayebanjuka na shoga mwenzake hawanihusu as long as hawaingilii maisha yangu..akiwa mtoto wangu namfukuza i dont entertain ushoga ndani ya familia yangu
 
Back
Top Bottom