Mashoga wanayo haki ya kuwa mashoga!

Mkuu, ninaheshimu sana mawazo yako! Mimi ninaamini watu ndio wanaweka historia na si historia inaweka watu! bado mashoga si kipaumbele kwa wakati huu! Ila wao wanatusukuma tujadili matukio bila ya sisi kufahamu!
ninatambua uwepo wao lakini tusilazimishane kuwatetea au kuwapa promo in the arms of donors
 
Hao wanaotaka ushoga wangejikusanya wakaenda kuomba visa za UK ili wakafanye hayo mambo yao huko mbele ya safari, maana hii ni kuzarauliana mwisho wa yote ipo siku watakuja kusema kuwa kiongozi wa nchi ni lazima uwe shoga. Alaaniwe Waziri Mkuu wa Uingereza
 
Ebu tuache mtu aishi jinsi inavyombeteza yeye machoni mwake..dhambi ni dhambi tu..kwa nini tupiganie kelele huu upuuzi?hawa jamaa wamefikia kiwango cha juu cha maendeleo na kutoamin tena habari za Mungu,na maisha yao ndivyo yanavyowapeleka..sisi tupigane na habari za umaskini wetu,magojwa,ujinga n.k.
 
bora kuibiwa mke lkn sio kukubali ushoga.
afu hueleweki Mungu gani huyo unemzungumzia? labda wako lkn sio Mungu tunaemwabudu alietuumba
ushoga haukubaliki hata kidogooooo naurudia hakuna dhambi kubwa kama hiyo.

Kwani hao mashoga wameumbwa na nani? Mtu shamba lake kapanda nyanya, mahindi bange, wewe unahoji! Lako? wee, nani? Mungu ni mkamilifu ktk ukamilifu wake! Huna haki ya kuhoji ktk Utukufu, Mamlaka, na Enzi yake. Atakalo huwa!
 
Hiyo ni against nature. Mnaoshabikia ushoga mtaanza kudandia wanyama kama mbuzi muda si mrefu, maana mkiona tundu tu mnataka kujisaidia. It's really against nature.
 
Ebu tuache mtu aishi jinsi inavyombeteza yeye machoni mwake..dhambi ni dhambi tu..kwa nini tupiganie kelele huu upuuzi?hawa jamaa wamefikia kiwango cha juu cha maendeleo na kutoamin tena habari za Mungu,na maisha yao ndivyo yanavyowapeleka..sisi tupigane na habari za umaskini wetu,magojwa,ujinga n.k.

Asante, Mkuu! Sasa hivi ufisadi ni haki, watu wanakufa na kuzikwa sanda viroba, watoto wetu wanacheza gololi na kukalia mawe darasani! wale waliosoma ajira hakuna, wako vijiweni! tumebakia kujadili takataka za ushoga! Hivi nani katuloga?
 
Kuna watu wanapenda kuiba, kuua, kubaka, tuwaruhusu kwa sababu ni haki yao kulingana na akili yao?
Kila jamii ina values zake. Ukiziacha na kuanza kufuata za wengine unaingia kwenye matatizo.
Kwa hili niko tayari kula nyasi kuliko kukubali huu ujinga.
 
Nimefarijika kumsikia membe akizungumzia kwa maneno mazito juu ya suala hili.
Msimamo wa serikali umenifariji. Ingependeza zaidi angeongea mkuu mwenyewe
 
ninatambua uwepo wao lakini tusilazimishane kuwatetea au kuwapa promo in the arms of donors

Mkuu, Nimekuelewa! Yeye hajatumia kombora, wala bunduki! acha ashughulikie yake na sie tuhangaikie vipaumbele vyetu!
 
Nimefarijika kumsikia membe akizungumzia kwa maneno mazito juu ya suala hili.
Msimamo wa serikali umenifariji. Ingependeza zaidi angeongea mkuu mwenyewe

Kwani angekaa kimya kama wengine angepungukiwa na nini?
 
Hiyo ni against nature. Mnaoshabikia ushoga mtaanza kudandia wanyama kama mbuzi muda si mrefu, maana mkiona tundu tu mnataka kujisaidia. It's really against nature.

Nature ndio nini? Wizi, Ufisa! uchangu, dhulma, ubinafsi na tabia ya aina hiyo nayo ni nature na ushabiki! au?
 
Kumbe tuna mabwabwa ya kutosha humu jamvini inabidi D. Cameron awatafutie mabwana huko kwao na kuwapa viza kabisa.
 
Hawa kuwaita mashoga ni kupotosha kiswahili na kuwapa hadhi, mashoga kwa kiswahili ni marafiki.

Hawa waitwe wanavyostahili w.a.s.e.n.g.e na wasagaji. Hao wote ni laana ya waliokuwa nayo wanataka kuihusisha eti ni kilema, kuweni wa kweli, hakuna ulema huo na ingekuwa ni ulema hata huko wanakoushadidia wangewaweka kama vilema na kuwapa haki za ulemavu. Huo ni u.s.e.n.g.e na si ulemavu.

Laana kubwa iko juu yao. Na tazameni hivi karibuni ghadhab za Mwenyeezi Mungu kwa huyu cameroon.
 
Ubarikiwe sana Mkuu! Sio kosa lako kuropoka hayo uliotamka! Omba toba!
 
Hawa kuwaita mashoga ni kupotosha kiswahili na kuwapa hadhi, mashoga kwa kiswahili ni marafiki.

Hawa waitwe wanavyostahili w.a.s.e.n.g.e na wasagaji. Hao wote ni laana ya waliokuwa nayo wanataka kuihusisha eti ni kilema, kuweni wa kweli, hakuna ulema huo na ingekuwa ni ulema hata huko wanakoushadidia wangewaweka kama vilema na kuwapa haki za ulemavu. Huo ni u.s.e.n.g.e na si ulemavu.

Laana kubwa iko juu yao. Na tazameni hivi karibuni ghadhab za Mwenyeezi Mungu kwa huyu cameroon.

Ungekuwa Mungu, kuna watu ungewanyima riziki! Wewe unamjua mwingi wa Rehema na kusamehe?
 
Ebu tuache mtu aishi jinsi inavyombeteza yeye machoni mwake..dhambi ni dhambi tu..kwa nini tupiganie kelele huu upuuzi?hawa jamaa wamefikia kiwango cha juu cha maendeleo na kutoamin tena habari za Mungu,na maisha yao ndivyo yanavyowapeleka..sisi tupigane na habari za umaskini wetu,magojwa,ujinga n.k.

Mmmm!!!!¿
 
Ungekuwa Mungu, kuna watu ungewanyima riziki! Wewe unamjua mwingi wa Rehema na kusamehe?

Mungu si kazi yake kumyima mtu Rizki yake, kisha kuumba kisha kuwelea rizki zako zote humu duniani, hilo halina shaka, siku rizki yako ya duniani inapokwisha hata ushindiliwe na mipira ya chakula, haiingii.

Huo mchezo Mwenyeezi Mungu kisha upiga marufuku, hata maumbile hayaruhusu, pakutolea uchafu wewe ndio uingie au uingiliwe? laana hiyo.
 
Naona kama na humu JF wameingia!!!!!!pelekeni mbali hukooooo ss tuna piga chiniiiiiii!!!!!
 
Back
Top Bottom