Mashoga wanayo haki ya kuwa mashoga!

Mashoga wanayo haki ya kuwa mashoga!

Mungu si kazi yake kumyima mtu Rizki yake, kisha kuumba kisha kuwelea rizki zako zote humu duniani, hilo halina shaka, siku rizki yako ya duniani inapokwisha hata ushindiliwe na mipira ya chakula, haiingii.

Huo mchezo Mwenyeezi Mungu kisha upiga marufuku, hata maumbile hayaruhusu, pakutolea uchafu wewe ndio uingie au uingiliwe? laana hiyo.

Ni kweli! Mabaya na mazuri yoote yanatoka kwake. Mungu kapiga marufuku mengi tu! Hata hata waje malaika kuonya hawatasikia! Ndipo katoa Hiari na si lazima kwenda jehannam au Peponi!
 
Ndugu Userne,

Huwezi kubadili dunia kwa siku moja. Na kama unataka kuwatetea mashoga basi anza kwa kuongea na jamii hapa hapa nyumbani. wakiwakubali itakua rahisi kubadili hata katiba ili haki zenu zionekane. Tunacho pinga hapa ni namna nchi ya nje inataka kutumia nguvu yake kama donor ili kutulazimisha kubadili maadili yetu ya msingi kabisa. Kweli ushoga upo Tanzania ila ni ule wa under cover na jamii inavumilia. Sasa waziri mkuu wa uingereza kakosea sana kulazimisha wakati mashoga wa hapa nyumbani hawajajitambulisha na kuongea na raia wengine ili tujue msimamo wa raia wote uko wapi. It is an internal matter to be decided internaly.

Na kwa taarifa yako, Tanzania haijawa tayari kuupokea ushoga kama jambo la kawaida sababu mashoga hawajaonesha ni value gani wataiongezea nchi hii ikiwa ushoga utahalalishwa katika sheria zetu.

wanawake walivoomba kua sawa na wanaume walionesha kua wakipewa nafasi za kazi watachapa kazi kama wanaume na hivo active labor force ya nchi inaweza ku-double. Investment ni kuwasomesha wanawake kama wanaume na kuwapa nafasi za kazi. Hili jambo litasaidia taifa nzima, sio wanawake tu.

Sasa wewe kama wewe, unadhani kuhalalisha haki za mashoga kutasaidiaje Tanzania? Tuwauze kaka zetu mashoga ili tupate hela toka kwa mzungu??? Kua na shoga anaejitambulisha kama shoga ni jambo la sifa, la udhuni au la kawaida hapa Africa? Watoto wa familia hiyo wanajihisije kua na ndugu shoga? stigma kwa wazazi ikoje? Tusiangalii 'welbeing' ya mtu mmoja tu, tutazame jamii sababu dimention ya jamii ni muhimu sana kwa waafrika.

Usirukii kubisha tu. Kuna sababu za msingi zinaziwia wafrika kuwatambua mashoga kwa sasa.
 
boflo yuko wapi siku hizi? Halafu si mashoga. Ni *******
 
Usipozungumzia masuala yanayoiathiri nchi yako unaaaaaafikiri ni nani atakaye zungumzia masuala hayo?kumbe kuna sabababu ya kulizungumzia suala la ushoga kwan linakuja na athari nyingi ikiwemo kuvunjika kwa utamduni wa kitanzania ambao kwao tumeweza kuongeza pato la taufa kupitia ngazi ya utalii.
 
Ndugu Userne,

Huwezi kubadili dunia kwa siku moja. Na kama unataka kuwatetea mashoga basi anza kwa kuongea na jamii hapa hapa nyumbani. wakiwakubali itakua rahisi kubadili hata katiba ili haki zenu zionekane. Tunacho pinga hapa ni namna nchi ya nje inataka kutumia nguvu yake kama donor ili kutulazimisha kubadili maadili yetu ya msingi kabisa. Kweli ushoga upo Tanzania ila ni ule wa under cover na jamii inavumilia. Sasa waziri mkuu wa uingereza kakosea sana kulazimisha wakati mashoga wa hapa nyumbani hawajajitambulisha na kuongea na raia wengine ili tujue msimamo wa raia wote uko wapi. It is an internal matter to be decided internaly.

Na kwa taarifa yako, Tanzania haijawa tayari kuupokea ushoga kama jambo la kawaida sababu mashoga hawajaonesha ni value gani wataiongezea nchi hii ikiwa ushoga utahalalishwa katika sheria zetu.

wanawake walivoomba kua sawa na wanaume walionesha kua wakipewa nafasi za kazi watachapa kazi kama wanaume na hivo active labor force ya nchi inaweza ku-double. Investment ni kuwasomesha wanawake kama wanaume na kuwapa nafasi za kazi. Hili jambo litasaidia taifa nzima, sio wanawake tu.

Sasa wewe kama wewe, unadhani kuhalalisha haki za mashoga kutasaidiaje Tanzania? Tuwauze kaka zetu mashoga ili tupate hela toka kwa mzungu??? Kua na shoga anaejitambulisha kama shoga ni jambo la sifa, la udhuni au la kawaida hapa Africa? Watoto wa familia hiyo wanajihisije kua na ndugu shoga? stigma kwa wazazi ikoje? Tusiangalii 'welbeing' ya mtu mmoja tu, tutazame jamii sababu dimention ya jamii ni muhimu sana kwa waafrika.

Usirukii kubisha tu. Kuna sababu za msingi zinaziwia wafrika kuwatambua mashoga kwa sasa.

Mkuu, Haikusaidii chochote pale unapo niweka kundi moja na mashoga. Na bado ninaamini haki hiyo wanayo! ndio sababu hata Muumbaji hajawatenga. Ninakuunga mkono kuwa sisi kama taifa huru hakuna mwenye haki kutuamrisha tufuate hili na tuache lile. Lakini. ninachosikitika ni kumjibu mpumbavu! Wakati mashoga hawaja athiri, usalama wala! uchumi wetu! hata kuwajadili sio kipaumbele chetu kwa sasa! ,
 
I am sorry if I offended you... Nilidhani na wewe mwenyewe ni homosexual na ndio maana umeamua kuongea hapa. Sasa kama you are not, kwa nini unakua offended wakati we mwenyewe umesha sema hakuna ubaya kua au kutokua shoga?
Anyway. Kinacho fanya swali la mashoga kuzungumziwa sana ni sababu wameweka kukubaliwa kwa mashoga kama condition ya msaada toka kwao na huo msaada ndio unahusika moja kwa moja na vitu vingine tunavyo viona priority. So vumilia tena kidogo hadi swali la misaada litapata conditions zingine.
 
Back
Top Bottom