mashoga wa mombasa wadai haki zao

hata Mike Tyson akichomwa sindano ya kumwongezea oestrogen ataanza kuwa na move za kishoga.Wote wanaume/wanawake tuna homone za oestrogen/testesteron ila kwa viwango tofauti.
Balaa ni pale mwanaume anapokuwa na oestrogen nyingi (a hormone stimulating female characterization and growth of secondary female sifa)

Merytina
Kwa wengine si kwamba anakuwa na hormone nyingi au nini, basi ni ile labda kuwa na rafiki shoga, au kufanyishwa hivyo akiwa mtoto basi anakuwa mkubwa na kuendelea hivyo.

kila siku naomba mungu awalinde wanangu wasije kuwa hivi, ni fedheha kubwa kwa wazazi pale mtoto wako kidume anapokuwa katika kundi hili.

Ushauri wangu mimi ni kwa wazazi kuwa karibu sana na watoto wao na kuweza kuzi ulia mbali dalili za kuelekea huko kwa watoto wetu.
 
Watu kwa nini wanapenda visivyo ruhusiwa madawa ya kulevya ni hivyo hivyo. Ufisadi hivyo hivyo.
 
hawa dawa yao ni kuwapiga mtungo tu na kuwaharibu duburi zao

hehehehehehehehehehehehehe
nakufa kwa kicheko na unanikumbusha mbali sana,ukiwapiga mtungo si watajisifu kuwa wameweza kubeba watu kumi kwa wakati mmoja? na hiyo itawapa moyo na ujasili wa kutafuta zaidi ya kumi kwa saa moja ? hehehehehe
 
baada ya mtungo tunawasokomeza na miti ili wakome
 
baada ya mtungo tunawasokomeza na miti ili wakome

heheheheheh,hii kali sasa,hapo tutakuwa tumehalalisha kuuwa,kwa maana hiyo hawa jamaa hawatakiwi katika jamii ni kuwapiga risasi tu.hakuna cha haki wala nini

tatizo sasa hata viongozi nao wana......................
 
Basi ili wasife tutawasokomeza na gumzi la mahindi.. Kimbe kuna viongozi nao ni vipikipiki?
 
mtoto ni baraka
Nitakachopewa na Mungu
Nitakipokea na kukifurahia..
YES I WILL THANK GOD
FOR GIVING ME A KID :A S-baby:

yes utamshukuru Mungu kwa kukupa mtoto
ila muda utakapowasili wa hayo matendo kuchomoza
utachukia na hata kulaani na kumuuliza Mungu huyo huyo
nimekukosea nini Yarabi mpaka kunipa adhabu hivi?
 
You Know your very smart
when you want to be mmmh

yaani nimefurahi sana kuona
kwamba unaelewa kwamba ma gay
wote si wakujitakia bali kuna wengine
wengi wamezalia hivyo
.. sante dear

Hakuna binadamu anayezaliwa Gay.
 
...mnh! hao nini bana...hawana hata mvuto, Mambo iko huku!

Miss-Tiffany-Universe.jpg

E8F2912E634246588C80628E557978A3.jpg

...astaghafirullah, astaghafirullah, astaghafirullah!...
 
Last edited by a moderator:
Mbu umeshindwa nini kuweka wabongo?Penda kwenu bwana...wanzetu wanajisifia wenyewe na sisi tinawasifia wao!
 
Kuna NGO kubwa ya Ki Dutch ina ela zisizo na kazi. Ukiwambia unatetea haki za mashoga na lesbian basi wanamwaga ela, na nadhani ndio waliowaponza waganda. Nasikia mpaka Indonesia nchi yenye waislamu wengi duniani walifanya tamasha la mashoga Jakata. Serikali ya Indonesia ikatoa kibali kabisaa, ila wananchi wakakaa barabarani na fimbo. Kwa hiyo wazungu wameshaharibika wanataka dunia nzima iangamie nao. South Africa wanaruhusu ndoa za jinsia moja, ukichunguza imeanzia wapi, ni hiyo NGO ya Wadutch. Na wamenambia wanampango wa kuja Tz wanatafuta interested partner!
 
Kuna siku kwenye discussion moja niliwabishia hawa whites kuwa sisi culture zetu haziruhusu mambo ya ushoga na u lesbian. Wakanambia hata Gender na environment mlikuwa mnapinga mwanzo, mtazoea tu. Can you imagine
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kuna siku kwenye discussion moja niliwabishia hawa whites kuwa sisi culture zetu haziruhusu mambo ya ushoga na u lesbian. Wakanambia hata Gender na environment mlikuwa mnapinga mwanzo, mtazoea tu. Can you imagine
Wanajua sisi ni somba somba ndo maana!Kila anachofanya mzungu tunaona dili!
 
yes utamshukuru Mungu kwa kukupa mtoto
ila muda utakapowasili wa hayo matendo kuchomoza
utachukia na hata kulaani na kumuuliza Mungu huyo huyo
nimekukosea nini Yarabi mpaka kunipa adhabu hivi?

usema ukweli
mimi kama mzazi nitafanya kila
niwezalo kumpa mtoto wangu maadili
mema ntamfundisha nini mimi nakiona
kibaya na nini mimi nakiona kizuri lakini
yeye anakua na yeye atachagua nini kizuri na
nini kibaya kwake.. na akisha fika umri fulani
kila kitu kitakuwa ni juu yake .....

lakini stontaa kaa nimlalamikie Mungu Wangu
Kwa kunipa mtoto mwenye matatizo ..
 
Back
Top Bottom