mashoga wa mombasa wadai haki zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashoga wa mombasa wadai haki zao

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by engmtolera, May 9, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Haya wana JF Mashoga wa mombasa wameamuwa kuwa wazi kwa kila anaewahitaji,hakuna kificho tena mambo hadharani,
  je Dini zetu zinaruhusu haya?  kazi ipooooo ktk hii Dunia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mashoga wa mombasa ni hatari ktk ndoa za watu, wanasoko kubwa sana huko.
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dini haijalishi sana Ila
  Mungu haruhusu
  mambo mengi sana
  lakini binadamu kama
  binadamu hatuachi dhambi..
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Nimesikia kutapika hata sijui kwanini nimefungua hapa kha!!!
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ikiwa hujapata uzao/mtoto kwa muda mrefu na kuoteshwa in ndoto utajifungua kidume ambacho kitajakua shoga will you thank GOD kwa kukupa mtoto or you better die bila mtoto?
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kila mutu inahaki ya kuishi ila kwa hili hapana ningekuwa rais ningemnyonga mmoja wao hadharani kukomesha kabisa hii tabia
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mtoto ni baraka
  Nitakachopewa na Mungu
  Nitakipokea na kukifurahia..
  YES I WILL THANK GOD
  FOR GIVING ME A KID :A S-baby:
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Dah haya mambo kumbe yapo kweli? kazi kwelikweli!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli dini haijalishi sana maana zipo zinazotaka kuruhusu watu wa hivyo wawe wachungaji..
  Kiukweli ni kuwa maadili yameporoka sana...
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  siweki neno nisije ambulia laana
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Yapo sana, hao wanajionyesha na wanajitangaza ila wa huku kwetu wanafanya kwa kificho na huenda ni wengi kuliko Mombasa
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hata Mike Tyson akichomwa sindano ya kumwongezea oestrogen ataanza kuwa na move za kishoga.Wote wanaume/wanawake tuna homone za oestrogen/testesteron ila kwa viwango tofauti.
  Balaa ni pale mwanaume anapokuwa na oestrogen nyingi (a hormone stimulating female characterization and growth of secondary female sifa)
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  siku hizi tunazaa tu
  lakini hatujui tunazaa nini..

  Dini ambazo tulikuwa tunakimbilia
  tukiwa wadogo sasa tunazikimbia
  Gay weddings to be allowed in church - Home News, UK - The Independent

  umenena vema kweli
  maaadili yameondoka kabisa
  Ni kila mtu na Mungu wake kweli
  DINI mmmhhh
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nashkukuru
  kwa kuwa muelewa..
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  D.A utapike kwa lipi? Ni maisha yao then at end of the day kumbuka kuna hukumu ya mwenyezi, japo si jambo jema bt ndivyo ilivyo, hawa wanalindwa na haki za kidunia bt kiimani hatupo pamoja nao!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hizi haki za kidunia ndio zinaharibu kila kitu na kufanya dunia iwe na uovu wa kila aina...
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  You Know your very smart
  when you want to be mmmh

  yaani nimefurahi sana kuona
  kwamba unaelewa kwamba ma gay
  wote si wakujitakia bali kuna wengine
  wengi wamezalia hivyo .. sante dear
   
 18. M

  Marytina JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  naelewega sana sema kuna wakati nageuka zuzu naswitch off uelewa flaniflani
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  oohh dear
  Hii ndo dunia yetu ..
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahahah lol
  sawa bwana ili mradi unazona
  na unazitoa wakati unahitajika
  nafurahi kuona hivyo
   
Loading...