Mashirika ya Ujasusi ya Urusi yana nguvu sana kwa sababu ya kukabiliana na mshirika ya ujasusi makubwa hapa dunianai kwa wakati mmoja na hata jeshi

Sasa hivi tuna wanw ccm sio majasusi kama wapo ni majasusi wajasusi wa vyama vya upinzani tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kubali kataa kuwa nguvu wanayofainyana ujasusi wao kwa wao sio sawa na wanayomfanyia Urusi wao wakiwa mmojammoja ama wote kwa pamoja,nadhani kama wewe ulikua msomaji wa habari za cold war era utakubaliana na mimi kuwa Ussr iliandamwa sana na mashirika yote makubwa ya juasusi.ama fuatilia tu hata sasa maana kumbukumbu zipo.
 
Mkuu mi sioni hao KGB kikubwa walicho fanya urusi inatakiwa iwe juu kam dubai.kufeli kwa Socialiat policy,kuvunjwa kwa U.S.S.R.mi nadhani jamaa wana experience na si kama unavyo wakweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi sioni hao KGB kikubwa walicho fanya urusi inatakiwa iwe juu kam dubai.kufeli kwa Socialiat policy,kuvunjwa kwa U.S.S.R.mi nadhani jamaa wana experience na si kama unavyo wakweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu sio nawakweza bali ni hali halisi kuwa USSR ilikua inakabiliwa na nchi zenye nguvu ya fedha na uwezo wa kijasusi kuliko nchi yeyote,mfano MI6,CIA,MOSSAD n.k,sasa kama KGB na wenzake waliweza kuhimili vishindo vya hawa basi hata wao watakua walikua wako vizuri.Ni kweli kuwa sera za kisoshalisti zilikua mbaya.
 

Siasa ya dunia iache kabisa Hakuna watu wanafiki kama wa Middle East( Israel and Arabs), Waisrael ni wanafiki sana wanakula Eastern block na Western block hali kadhalika waarabu wako hivyo hivyo.
 

Kosa la analysis yako ni kutaka Kuamini kua URUSi ama USSR(Umoja wa nchi za kisovieti wa Urusi) ilikua nchi moja dhidi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi(NATO).

Laiti ingekua nchi Moja, ingebaki hivyo hata leo.

Urusi ilifeli kuanzia sapoti yake kijeshi kwa nchi za kiarabu dhidi ya Israel ilishindwa kuwini uhusiano na Egypt.

Urusi Ilishindwa kuiwini Zanzibar.
Urusi ikitumia nguvu nyingi kujenga makombora ya nuckear kuliko kujali ustawi wa uchumi wa wananchi wake.
Urusi ilishindwa kuilinda Ujerumani Mashariki. Urusi ilishindwa kutunza Uhusiano wake na China. Kwasababu ya Ego.China akajitoa.
Urusi haikuweza kuichukua Afghanistan .
.
Mwaka 1989-90s USSR ilianguka rasmi.
Russia iliyopo, Wakati wa Obama tulishuhudia ikiipoteza Ukraine. At least wameweza kuzuia Anguko la Syria. Na hii ni swala la Muda tu. You never know..

Leo hii unaisifu kwamba ina umadhubuti wa ujasusi?!!. Hell No!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uingereza ameshambuliana sana na Mrusi hata kabla ya Marekani hajawa Super Power mwaka 1945. Wameshambuliana sana hadi Krushchev akatishia kuwatwanga na Nuclear.
Waisrael waligombana sana na Urusi kwasababu Urusi alitegemea Israel itakuwa ni nchi ya kikomunisti lakini ikawa ya kibepari.

Hii ni moja ya chanzo cha KGB kuunda makundi kama Popular Front for the Liberation of Palestine (PFLP) ambayo yalikuwa yanaongozwa na KGB agents kama Carlos the Jackal. Upande wa pili unasahau kwamba zile silaha zote ambazo alikuwa anatumia Gamal Abdi Nasser alikuwa anapewa na Warusi.

The Jackson-Vanik Amendment zilizopitishwa Marekan mwaka 1977 zili
Nchi ambayo kipindi cha vita baridi haikujiingiza kwenye mtafaruku wa moja kwa moja na Urusi ilikuwa ni Ufaransa kwasababu Raisi Charles De Gaulle mwaka 1966 aliamia kujitoa NATO.

Kiufupi kipindi cha vita baridi hadi Uchina aliwashambulia Warusi akiungana na Marekani.
 
Urusi ilikuwa ni nchi moja hata kabla ya kuundwa kwa umoja wa kisovieti mwaka 1922. Au labda mimi sijakuelewa..
Nchi zote zilikua moja kwa wakati fulani. Na Vita baridi inaeleza, Nguvu ya ujasusi wa Mataifa husika. Na hapa utaona Matunda ya CIA dhidi ya KGB.
Urusi ililazimika Kuacha kuweka vinu vya Nuclear nchini Cuba. Na hii ni kazi ya ujasusi wa USA. Mwisho wa siku USA ndio victor.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Marekani iliwahi kuvunjika kisa fitna za Uingereza na mataifa mengine ya nje.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwa baadhi ya ponts zako humu,ila kufeli kwa USSR kama ulivyoelezea kwa hapa ni kutokakana na nguvu ya majasusi waliokua wanapambana na URUSI,na hapa ndio mzizi wa mada yangu,ukishindana na wengi utashindwa tu,lakini ukishinda ama ukishindwa wewe bado utaonekana ni nunda,Hitla alishindwa kwa sababu alipingana na wengi,lakini aliacha simulizi na anaonekana kuwa alikua ni nunda,ukishinda wewe sio wa kawaida,ndio maana mtu ama nchi moja ikiwashinda wengi huwa tunaiona au tunamuona kuwa sio mtu wa kawaida,mimi sizungumzii kama URUSI na KGB yake walishinda,nazungumzia uimara kutokana na kukabiliana na majasusi wenye nguvu,kutoka nchi zenye nguvu za ujasusi hapa duniani,nimetoa mifano nchi kama US,UK Mossad,n.k Kama isingekua hivyo leo Urusi hiihi ya Putin isingekua na jeuri yote hii.Hata suala LA SYRIA ni kwamba waoWEST bado ni wengi na wana uchumi mkubwa wanaweza kuja kubadilisha matokeo baadae,lakini kwa sasa Urusi kawamudu,hivyo tunasubiri.Sitaki sana kurudi kwenye sababu za kuanguka kwa USSR,wala vita ya Afghan,najua unaijua vizuri sana na mengi yameandikwa humu sitaki kufanya marudio,ila kwa sasa sitaki kuandika mengi nasherehekea ushindi wa simba dhidi ya Wacongo na Yanga kwa pamoja.
 
Hapan mkuu sijifariji ,bali kwa mfano wako wa askari wa Zimbabwe kumchenjia Mugabe nakosa hoja naamua kuungana na hoja yako.
Wewe ulisema askari/wanausalama humtii boss wake as long as ni boss wake. Kwa maana hiyo hata logic hawawezi tumia, ndio nikatoa hiyo hoja ya Mugabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…