Mashinikizo yanamtesa JK

Mashinikizo yanamtesa JK

Hii ndiyo shida ya kuwaweka marafiki na wale wa kupangiwa na Rosti-Tamu Ikulu!...NAMHURUMIA sana mzee huyu, anajisababishia shida pindi atakapotoka madarakani, magonjwa yatamshambulia haraka sana!
 
toa mifano mkuu ili uelweke sidhani kama kushauliwa ni kushinikizwa
  1. Mgomo wa madaktari
  2. Mauaji ya Songea
  3. Sheria ya mabadiliko ya katiba
  4. Kuvuana magamba
  5. Kutofautiana kwa kauli mbalimbali za mawaziri na viongozi wengine waandamizi
 
Namna pekee ya kumsaidia ni kumwomba ajiuzulu.
Ushauri huu hawezi kuupokea kwa kuwa kuna wengi wanaofaidika na uongozi wake watamshinikiza amalize muda wake. Aidha CCM hawatamurusu ajiuzulu kwa hofu ya chama kusambaratika!
 
  1. Mgomo wa madaktari
  2. Mauaji ya Songea
  3. Sheria ya mabadiliko ya katiba
  4. Kuvuana magamba
  5. Kutofautiana kwa kauli mbalimbali za mawaziri na viongozi wengine waandamizi

Ileje,

Umemjibu vema huyo aliyetaka kujua sababu za mashinikizo kwa Rais Kiwete.

Mimi nashauri kumsaidia huyu Rais ni kumwomba AVUNJE BARAZA LOTE LA MAWAZIRI akiwemo Waziri Mkuu na yeye mwenyewe kama Rais AJIUZULU na kuitisha UCHAGUZI MKUU badala ya kusubiri mpaka 2015. Ni dhahiri kwamba kwa namna mambo yanavyokwenda hii nchi itafikia mahali haitatawalika kabisa kabla ya 2015 labda.

Kwa ujumla ni kwamba Rais Kiwete ame-prove failure in Leadership in thatHighest office of this country.
Salama ya Kikwete ni kujiuzulu tu. Kila Mtz anajua Kiwete hakushinda Uchaguzi Mkuu wa 2010 na iwapo atajiuzulu na kuitisha Uchaguzi Mkuu wa 2012 na UCHAGUZI UKAWA HURU NA HAKI BILA SHAKA CHADEMA WATASHIKA NCHI NA KILA KITU KITABADILIKA KUTOKA HALI MBAYA TULIYO NAYO KWENDA KWENYE NEEMA. Huo ni ukweli ambao hauhitaji kutafutwa baali uko wazi kabisa kwa kila aliye na akili timamu.
 
Chakumsaidia ni kumshahuri awemkali na atimue wote wale wanaobabaisha katika utendaji wao wapo watu wanao wezakufanya kazi wazee wanamchanganya na vijana wapo wengi wenye uwezo!

Ngeleja, Malima, Masha, Maige je hawa ni wazee? Inambidi aache mambo ya visasi toka uchaguzi wa 2005 na awape watu kazi kufuatana na professionalism yao na sio kwa ujana au uzee wao au kuwa waislam au marafiki zake; akifanya hivyo atapungukiwa na stress inayomkumba kila anakogeukia!!
 
Walinzi wasioonekana walimsaidia sana, huyu jamaa aliyekabidhiwa mikoba ya kazi amekuwa tatizo kwa mzee
 
Upinzani
Kwa hiyo mtu akiboronga anaachwa kwa kuwa akiondolewa utapatikana upinzani
Nani anayepinga kuomdolewa kwa mtu anayeboronga
 
Tatizo anaogopa gharama za uongozi na ndiyo maana ameona aiponye nafsi yake Watanzania waumie. Hii inaonesha hafai kuwa kiongozi, kiongozi mzuri huutoa uhai wake kwa ajili ya wale anaowaongoza. Rais hana msimamo na maamuzi yake hasa pale anapoona yatamletea lawama kutoka kwa marafiki zake au wasaidizi wake wa karibu achilia mbali walimu wasio na maana kwake.
 
All these needs a sense of humour for the president to combat and solve the difficulties of today and tomorrow.
 
Forget Everything And Runaway is defined as FEAR. The only thing to fear is fear itself. The fear of this moment can be eliminated by eliminating the idea of TECHNICAL KNOW WHO, AGE AND GENDER DESCRIMITATION ON APPOINTING MINISTERS AND HIGHER RANK OFFICIALS AND FIRING ALL THE CORRUPT TOP AFFICIALS, IMPLEMENT STRONG MEASURE OF COLLECTING TAX.
 
Forget Everything And Runaway is defined as FEAR. The only thing to fear is fear itself. The fear of this moment can be eliminated by eliminating the idea of TECHNICAL KNOW WHO, AGE AND GENDER DESCRIMITATION ON APPOINTING MINISTERS AND HIGHER RANK OFFICIALS AND FIRING ALL THE CORRUPT TOP AFFICIALS, IMPLEMENT STRONG MEASURE OF COLLECTING TAX.

Then let us boost the courage of our president to eliminate fear!
 
Back
Top Bottom