Habari zenu wana jamvi. Nipo kidato cha sita na nnategemea kufanya mtihani wangu wa mwisho tar 4 ya mwezi wa tano.
Baada ya kubana matumizi shuleni nimeagiza kutengenezewa incubator ya kutotoleshea ambayo itakua tayari mwanzoni mwa mwezi wa tano. Malengo yangu ni kutotolesha mayai alafu kisha kufuga kwa mtotolesho wa kwanza then baadae nianze kuuza vifaranga.
Yote haya nataka kuyafanya kipindi nasubiri kwenda chuo mungu akitia wepesi. Naombeni ushauri wenu katika hili ili niweze kulitekeleza kwa ufanisi.
VITU AMBAVYO NINGEPENDA KUSHAURIWA
1.Upatikanaji wa mayai na gharama zake
2.Gharama za ufugaji kwa kuku 100
3.Soko la vifaranga hasa kwa eneo nililopo la kibaha
4. Aina ipi ya vifaranga inalipa zaidi
5. Utaalam wa kuchagua yai bora
6. changamoto ambazo huambatana na matumizi ya hizi mashine
7. Changamoto zinazoambatana na kufuga hawa kuku wa kienyeji
Nawasilisha